@BarakaMaviatu Sio service tu ni vitu vingi, kwetu tunapenda cheap and fast.
Hata hawa wenye gari binafsi, kumwambia alipie $80 Kwa ajili ya workshop manual ya gari yake anaona ni kupoteza muda bora aende Kwa mafundi Wa Makumbusho wabypass system fulani ili imradi gari iwe sawa tu..
@KilooVoltI @TillahBlessed Mkuu hapo tulikua tunaongelea thamani,.
Na sio size zipo v12 nyingi tu za chini Na hata hizo v8 zinatofautiana size pia
Kaka njoo Na V8 ya bei ndogo....
@KilooVoltI @TillahBlessed ๐๐๐๐
Mkuu gari inayouzwa 120M ikiwa Na millage zaidi ya 100k unaiita ndogo
Yan kaka gari classic Na special addition with more consideration unaiita ndogo kaka
๐
@KilooVoltI @TillahBlessed Ingawa mimi naona Neno v8 hutumika kuonesha gari ya thamani,
Mana hamna v8 ya bei ndogo au inayomilikiwa Na mnyonge mnyonge Na iwe kawaida kawaida
Kwhyo watu wapo sawa tu kusema v8 if they aim kuonesha thamani ya gari
@anon_codex@chriss_papy@GIVENALITY Siungani Na wewe kwenye kuimaliza mil moja Kwa wiki Na liwe tukio la kawaida ila nami naona sio sahihi kuwekeza mil mia then upate mil moja Kwa mwezi Kwa miaka yote 25
Unless otherwise io mia ni Akiba ambayo mtu anaweka tu na hana matumizi nayo for the time being
@ayubu_madenge Nilipokuaga advance tulimzuia mkuu Wa shule asiingie msikitini and tulitoa sababu
Kuna siku nikamuona the late yupo msikitini Na mufti mkuu...nilijihisi mkosefu Sana....
@EngMapundajr .. Ni vitu vingi vinavyoaffact gari kufika io 80 Kwa mfano, aceralation, body style, mzigo uliobeba, njia ambazo tairi zinapita, upepo and even vehicle performance
@EngMapundajr 1. Sio kweli kwamba bus x linavyoonesha 80kph ndo exactly speed bali huwa ni makadirio ambayo yapo karibu Na io 80
2. Ni ngumu kuzipata gari at the same time kuwa Na speed sawa tunasema io ni IDEAL state mana zote zilizianzia 0 ambapo kwa kila mmoja mpaka kufika io 80....