@MamaWaTaifaSSH Haina haja ya wanaharakati, mkishindwa kutatua kero za wananchi watatoka barabarani kuandamana hata bila kuhamasishwa. Endeleeni tu kuiba na kutetea majizi muone. Msitufanye misukule yenu
@MsigwaGerson Propaganda tu, shuka ground kwenye uhalisia msiwadanganye watu. Mmekaa maofisini tu mnaletewa tafiti feki za report nimeshawahi kuzifikia baadhi ya taasisi mkaona miundombinu ya kufanyia kazi ilivyo mibovu!?
@NNgabu_ Watanzania tunataka utatuzi wa changamoto zinazotukabili kwa wakati sio kuleteana propaganda za kisenge, kama mmeshindwa kuyaleta tutaandamana hata bila kuhamasishwa na hao wanaharakati, sasa nyie mnaolipwa kuhubiri kuwa bahari I shwari na huku si shwari endeleeni. Tutaelewana tu
@TanganyikaLaw@ikulumawasliano@Sheria_Katiba@SuluhuSamia Watu wengine ni kama Mazezeta, kwani hizo pesa za kununua magari katoa mfukoni mwake au ni mali za watanganyika waliomwajiri!? Je na huyo mwabukusi ataondoka nayo muda wake ukiisha!? Msukule mmoja
@Thommunkondya Tuambie ni lini mlishinda kihalali bila kutumia police, wizi wa kura, vurugu, kuwafyekelea mbali makarani wa wapinzani wenu wakuu pamoja na wizi wa kura!? Tume ya uchaguzi imeandaliwa na mwenyekiti huyo huyo anayegombea, acha uzuzu wa kudanganya watu
@MariaSTsehai Huyu si Kibaka tu, watu wapo tayari kulipa vijana ili watetee ugali wao, na vijana mnaolipwa kupanga hizi njama za uovu. Siku meza ikipinduka mtafute chaka la kukimbilia, tutawasaka, Nchi inauzwa nyie mnakula makombo kusifia na kuabudu mfugaji anayekula vinono na familia yake.
@MariaSTsehai Hawa watu hawawezi kutoΓ katiba mpya kwa amani hata siku moja, hiyo katiba mpya wanayosema baada ya maridhiano ni uongo na janjajanja tu, kuwasoheza watanganyika mbele ili machungu ya kuuliwa ndugu zao yasahaulike, na wanajua wakifanya hivyo watanganyika watasahau
@MariaSTsehai Hawa watu waliojiingiza madarakani kiubabe wanajua vizuri nguvu ya umma na ndio maana wameanza kuyapinga maandamano kwa kuyaita ni vurugu. Imefika hatua wale waliotakiwa kutoa haki nao wameingia kusaka tonge kwa ajili ya matumbo yao..