Mtu mmoja asipokuwa salama, wote hatuko salama.
Waliouwawa tarehe 29 October, wengi walifuatwa majumbani mwao, makazini mwao na wengine waliandamana kwa amani barabarani. Tusikubali nchi yetu kuwa kisiwa cha umwagaji damu.
Tarehe 7/7 ikawe kilele cha kuikomboa nchi yetu kutoka mikononi mwa hawa wauaji na watekaji.
Bila huyu Mwanamke na genge lake kutoka madarakani, bila kuandika katika mpya, HAKI NA UHURU WA KWELI tutavisikia redioni.
RAMANI YA UTEKAJI INAYOTUMIKA NA POLISI TANZANIA. Part2
Kwa ujumla, polisi au vyombo vya uchunguzi wanapohitaji location ya simu, hupata taarifa hizo kupitia njia za kisheria kutoka kwa mtoa huduma wa simu (telecom operator).
Taarifa zinazoweza kupatikana ni pamoja na:
Minara ya simu (cell towers) ambayo simu iliyowasiliana nayo.
Muda ambao simu ilikuwa karibu na mnara fulani.
Wakati mwingine makadirio ya eneo la simu kulingana na minara kadhaa ya mtandao.
Usahihi wa location hutegemea mazingira Makadieio ya location Mijini yanaweza kuwa ya karibu zaidi kuliko Vijijini ambapo kuna umbali mrefu wa minara.
Mamlaka zinaweza kuomba taarifa hizo kwa kufuata taratibu za kisheria zinazotumika ila sio hizi za Malawi
Ukiwa Arusha Unapompigia mtu Simu aliyepo Dar mnara ulio karibu Yako unatuma signal kwa mnara uliopo Dar karibu na mtu unayempigia
So location ya Laini Yako ikiwa hewani inasomwa na Mnara wa mtoa huduma au Network Operator.
Polisi wanachukua location ya Namba ya Simu iliyopo hewani kutoka kwa mtoa huduma.
Location hiyo Huwa ni ya Makadirio kulingana na msongamano wa eneo ulivyo.
Shida mitanndao ya Simu haiwezi kumtaarifu mteja kuwa Kuna watu wameomba Location Yako.
Hapo undio utapata picha kwamba wanaoteka watu ni akina nani
Zile sababu za Madeni,Mapenzi ,Kujiteka ni porojo.
Anayekulinda na mtutu Asubuhi ni huyohuyo anayekuteka Usiku .
Amkeni.
🔥💪🏽7/7 loading
So proud of Gen Z Tz 🇹🇿 organizing and mobilizing themselves for the mega protest!
The govt ‘s effort to spin this as some chaos is nothing but pure LIES! #KeepEyesOnTanzania
We will document EVERYTHING
Msiogope kabisa maandamano ya amani ni halali na iko kikatiba!
Polisi kazi yao ni kulinda waandamanaji! Na kama kawaida hakikisheni mnarekodi KILA KITU na ushahidi utapelekwa duniani
Akina Who are You wanafuatilia pia!
Muhimu ni kujitokeza na kuushinda HOFU waliotujengea!
#SamiaMustGo #TutaelewanaTu
Kukosekana kwa serikali ya Tanganyika kumesababisha kukosekana kwa Rais Mtanganyika
Imefika wakati Tanganyika inahitwa Tanzania bara kivipi yani Tanganyika Iko wapi? Watanganyika Mko wapi?
Nchi imevimba! Asante kijana for speaking Truth to Power!
Tatizo tukiweka maoni ya wananchi mnafikiri tumewatuma au tunasema sisi! Narudia wasikilzeni wananchi na wapeni wanachodai!
Hawaitaki CCM! Hawamtaki Samia Suluhu! Hata mkiunda faka accounts kututukana hamsaidi mnazidi kutia hasira! Na wanataka HAKI na UWAJIBIKAJI kwa mauaji ya Oktoba 2025
Mnaootutishia, kutuambia eti mtatuua tukiandamana mnazidi kuongeza hasira! Vifua vimejaa nyie mnazidi kumwaga petroli kwenye moto!
Hivi huko ndani mmebaki wajinga tu!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Trust me, hata Samia ni chawa wa kundi dogo sana ambalo ndilo linaimiliki sisiyemu.
Hao kina Hapi ndiyo kabisa hawajui chochote kinachoendelea.
Nakumbuka kuna info moja niliwahi kusogezewa DM kwamba jinsi wananchi wanavyoulalamikia mfumo huku uraiani, ndivyo hivyo hivyo Samia analalamikiwa mfumo huko ndani.
Kuna post moja aliwahi kupost @mangekimambi akasema, issue si Samia, issue ni mfumo wa sisiyemu.
Habari njema ni kwamba huo mfumo upo tigirivyogo, hizi ni habari tunazozipata ndani ya mfumo wenyewe.
Kuna namna majamaa yamevurugana, na sababu ni hii kasi ya kuvunja Muungano. Guys, hili jambo la Muungano halijaja kama hoja tu Baraza la Wawakilishi.
Kama bahati mbaya, Samia ndiyo top ajenda yake hii, na ni mpumbavu tu anaweza kudhani Samia hana Uzanzibar.
Nachotaka kusema ni kwamba wakati huu mfumo unapoteana, sisi tupo karibu na ukombozi.
Tutoke kwa wingi sana 7/7. Hakuna kitu cha kuogopa. ✊🏽
@Maestrowafact Chukua hii "adui wa wananchi ni watu na siyo vitu, 7/7 hukutikuwa na uharibifu wa Mali yoyote ya uma wala ya binafsi, 7/7 ni siku ya kuondoa watu ofisini walio jiweka na kuweka watu wao kwa upendeleo wa undugu au itikadi ya kisiasa na kufunga ofisi zetu"
@mreno255 Na kulikuwa hakuna Kona Kona sijui nimeshiba, sijui Nimekuka muda si mrefu, ilikuwa ukikaribishwa kula unajibu Moja kwa Moja "mama amesema marufuku kula kwa watu na unageuka unang'oa home"
Nimepokea taarifa ya kukamatwa kwa SAILENCE MWAKASALA Mwenyekiti wa CHADEMA Student Organization mkoa wa Mwanza mchana huu, Polisi 5 mmoja tu ndiye aliyevalia sare wakiwa na mitutu ya bunduki wamevamia nyumbani kwake na kumchukua kwa nguvu. Tunaendelea kufuatilia kila hatua.
REPOST 200
#FreeMwakasala
@assengajrr Ukijiunga kule akili unaacha kwenu(4mla ni utii na weledi) wewe unafanya kazi like dog hakuna kufikiria wala kujadili akisakisiwa ng'ata anang'ata