Hatimaye baada ya miaka mingi, sasahivi hauhitaji tena kujua MICROSOFT EXCEL
Ile miaka ya kukosa kazi kisa haujui shortcut za excel na watu kujikuta wasomi IMEISHA😂..
Claude AI sasahivi ukiwa na Pro plan unaweza kutumia kingereza kibovu kufanya kazi za watu wenye CPA 🤣..
Kwanza hata Kiswahili tu yani La saba B unaiamrisha AI ikupe excel zilizonyooka za biashara yako😂..
La saba B wote tukutane kwenye comments tukisheherekea huu ukuaji wa Teknolojia😂