REPOST PLZ🙏😍
Kwa wenye changamoto za Uzazi, Leo Tarehe 13, April 2025 mnakaribishwa kwenye Kliniki ya Uzazi katika Hospitali ya St. Emerence Kisasa, Dodoma.
Daktari Bingwa Mbobezi wa Ugumba wa Tiba Stahiki mwenye uzoefu zaidi ya Miaka 7, Dr. Tom Jackson atakuwepo kukupatia huduma sambamba na ushauri na tiba.
Maelezo zaidi Piga simu 0763100093.
#DaktariWaUzazi #DaktariKidijitali #MedikeaCares @medikeahealth