Mimi sio mchumi, mtanisahihisha maana kwa akili ndogo niliyonayo nimegundua tajiri anaishi kwa gharama ndogo kuliko masikini.
Achana na luxuries, tuongelee basic needs, mtu anayenunua vitu kwa jumla ananunua kwa bei ndogo kuliko mtu anaenunua kwa reja reja, kila siku.
Tunae vijana wa hovio sana kwenye taifa letu,
Unakuta kijana anawekeza kwenye ngono na mambo yasiyo na faida katika maisha.
Kijana anatumia zaidi ya asilimia 70 ya kipato chake anacho kipata kwa mwezi tena kwa mateso kuhonga ili kumfurahisha demu wake.๐งโโ๏ธ
Bajaj ya mkataba ni utapeli mkubwa sana ila watu hawaelei Bei yake mpya 10M ila wewe unamlipa 22M ila as long as kijana akikaa road kwa siku hakosi 70k anaona 20k kitugan anakomaa kumbe anatapeliwa tu alaf kibaya baada ya hyo miaka miwili hyo bajaji iko hoi.
Linapokuja suala la kuficha mambo Yao, WOMEN are the best ๐๐ป๐๐ป
Imagne unakaa na mtu LODGE karibu week nzima, na hujui ame-PUUU lini..!
๐๐๐๐๐
Hivii Mwanaume,
Anaweza Kukaa na Mwanamke Amemzidi, Kipato, Elimu, Nafasi Kwenye Uongozi au Kwenye Jamii, NA MWANAUME HUYO Akawa Comfortable Kabisa analala anaamka anashabikia na Team ya Mpira Kabisa...?
TUJADILI WEWE unalionaje..?
@Mwitah_tz@DrLameckFocusCo Siku hizi uanaume umekuwa rahisi sana si ajabu ndo maana kuna wanaume wengi wa hovyo,Wewe ambaye Unatakiwa kuwa kichwa ndio una mawazo mfu hivi,sasa wanawake waweje?.
Nimeumia sana sijui unataka kuhalalisha kitu gani ila Nimekudharau sana Mwita.
Shame upon you Brother.
Katika kuadhimisha sikukuu ya Mwaka Mpya 2026, Ubalozi utakuwa umefungwa tarehe 1 Januari.
Shughuli za kawaida za Ubalozi zitaendelea tarehe 2 Januari.
Kutoka kwetu sote hapa Ubalozini, tunawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026!
#MwakaMpya
Kwanini serikali isiwaagize waagizaji wa mafuta wakawa wananunua Mafuta (Petroli & Diesel) kwa DANGOTE Nigeria, badala ya kuagiza Uarabuni?
Naamini mzigo ukitoka Nigeria,bei haitakuwa kubwa