#EPL DK18'
Mechi inaendelea kwenye uwanja wa Old Trafford. Ni mechi ya mwisho kwa mzee Wenger akiwa na Arsenal.
Tayari kashafungwa bao moja. Je atarudisha na kushinda ?
Man United 1 - 0 Arsenal
Pogba 16'
Toka #JijilaDodoma Alichokisema Janjaro Ni Ukweli Sio wasanii tu Bali Sisi Binadam Wengi Wetu Ni Wanafiki Sana kwani Mtu Anakuwa Anakuchekea Usoni tu Moyono Mwake Ana Chuki binafsi. Pamoja Sana @mamibabie@CloudsMediaLive
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Ndugu Abbas Kandoro. Nimemfahamu marehemu Kandoro kwa karibu. Alinisaidia sana katika nafasi ya Mkuu wa Mkoa katika mikoa niliyomteua. Natoa pole kwa familia ya marehemu na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala pema