@RealKhalifax Kwenye jamii ndo tunatakiawa kuwafundisha mahadiri watoto wetu na tuwafundishe hata watumie condomu sio kulahumu serikali kwamba imekataa kuwapokea wazazi .
@TheoGiyan@kigogo2014@bajabiri@noel_isidore @theSICARIO_255 Kwanza wanyarwanda nawafahamu kwa sababu ni jilani zangu mimi natokea mkoa kagera nawatambua kwa sura rafudhi umbile kwa utafiti huo sikuona viashiria vya kuwepo hapa tanzanet .
@OleMtetezi Kwa hiyo wewe ukishindwa kupata kura mtaani unatafta uongozi wa kupewa mezani usifananishe mzozo wa Kenya na Tanzania hakuna au na nyie cdm msuse uchaguzi 2020 ili mpewe nafasi kama ya odinga.