Mdau ameeleza, “Watu ambao wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuwa mfano wa kuonyesha jinsi sheria za barabarani zinapaswa kufuatwa, ndio wa kwanza kuzivunja.”
Nini maoni yako?
Shiriki mjadala https://t.co/gsJQQh49QD
#JamiiForums#JFMdau2026#Uwajibikaji
Video: unpopular_opinions_bymslendisa