Kwahiyo Malezi ya pale home yalikuwa full of LIFE UNIVERSITY.
Leo hii Kila aliyetoka ktk mikono yao, kama hawezi kujitegemea basi kaamua kuwaa hivyo.
________________
Nimeshare stori hiyo kwa ufupi kwa kuadhimisha miaka 74 ya Birthday ya Bimkubwa. Happy birthday to her ๐๐