@AChidagaya Inaleta heshima kubwa kwa mke kumpigia goti na kumsalmia mume inaleta maisha marefu ya ndoa ,ila watt wa siku izi akili zinakimbia na utandawazi sanaa ,ni tuishi tuishi tuu lkn heshima akuna
@Adventure_36 Kumbe tunapitisha magari kwnye brbr za watu na hatuzimiliki maana ake , tutakuja lala majumbn wakizuia sasa hiz brbr , asant mzee wa kitengo
@ayubu_madenge@Tanfootball waje na taarfa rasmi wasitufanye wajinga kiasi hiki , yaan kwamba mpka kamishina wa mchezo apigiwe sim na club kias kwamba hapakuwa na mawasilian yyte kuhusu mchezo ,🚮🚮