Watu wachache wa kweli ukiacha ego na jealous ndio wenye kuweza kudhihirisha ubora wa kitu hata hadharani,na vitu bora vipo kwa ajili ya watu wachache wanaojua thamani ya ubora na kuthamini.
Shukrani kwa watu wangu ambao mpaka sasa wamesha pre order Album ya MZIMU WA NGENDE
01.08.2024 MZIMU WA NGENDE ALBUM
tsh 10000 tu..
pre orders with 3 bonus tracks kama ofa,ambazo hazitokuwepo kwenye list ya ngoma za album..
Press an order kuanzia sasa.. (0673357868 tigopesa),(0689411225 whatsupp)(0616241225 halotel),(0768511225 voda)
MZIMU WA NGENDE THE ALBUM
@mshambuliaji Dakika ile ile ambayo aziz k alifunga goli likakataliwa ndio dakika ile ile esperance wanafunga .. dhulma haufai mungu huwa anajibu kwa vitendo na umakini mkubwa.
@Wakazi@ijeseli29@lodynemark Ukusikia paa remix verse ya chid nadhani haikutakuwa kuwepo kabisa,ni mbovu kuliko maelezo na delivery mbovu kama alilewa au alipanic..
@hiboshibo@realafterxtz@MillenMo Na sancho alikuwa ilala mwishoni mwa miaka ya 80 hadi 90 huko kazi yake ni kuonesha cinema ilikuwa,jamaa ana asili ya kihindi maarufu sana ilala..
Kwa wanetu ambao hawajabahatika kupata album iitwayo DREAMS ya @lugombo (2021) basi ngoja tuwapatie moja ya ubeti ambao Lugombo Makanta mwenyewe anaukubali toka kwenye ALBUM hiyo ili mpate kutamani kidogo 😉
Aliyepita humo hana haja ya kutambulishwa kwenye ulimwengu wetu!