@godbless_lema Pole Sana kaka Lema, umebeba matumaimi ya wengi, najua hatuwezi wote kuwa kama nyinyi na pengine maumivu mnayopitia hatuwezi kuyabeba Kwa mfano lakini Mungu wa Mbinguni atawalipa Sawa Sawa na mpenzi yenu ya kujitolea Kwa wengi
Maumivu ni makali
@ExMayorUbungo Kaka Boni wewe ndo Icon ya Siasa za upinzani
Hauko Bungeni lakini uko na maisha mazuri kuliko hao wabunge wa kujilazimisha
Mali halali ina Raha yake
Kongore sana