#NgengaZaWananchi | #zaynbey_04, Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi ambaye kwa cheo ni Waziri Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Ardhi, anasema Vijana kwa sasa tumekuwa kama watoto wa mwisho, wengine wanafika mbali zaidi mpaka kusema bila kiasi Fulani siwezi kufanya kazi.
#SupaBreakfast | #HainaKuchoka | #NgengaZaWananchi
Wageni humu kinachoendelea ni kwamba;
BARAKA anasema hawa waandaa matreni ni wanafanya kazi na makampuni ya betting.
Kwamba
Mikeka kudondoka ni mipango ya wakamaria wakuu wanaoandaa treni.
Kwamba
Wakamaria wakuu wanaoandaa matreni wanalipwa kutokana na mikeka kudondoka.
Wakamaria wanapinga vikari shutuma hizo na ndio kitu kinachoendelea.
Chagua upande wewe ila usisahau kuoa mwanamke bikira na kama ushaoa slightly used virgn kumanyoko zako.
Kuna muda utasema nimejaribu kila namna, NIMETOA kila kitu, nimepambana vya kutosha lakini still bado hakuna kinachotokea.
MAMEN, mara nyingi miujiza inakuja siku ile ambayo roho imechoka zaidi. Ukiacha, unakuwa umepoteza ushindi uliokuwa mita 2 mbele. PUSH one more time!