Mnajua bado natafakari hii sentensi kabla ya kulala 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
"Unabonyeza inawaka bhaaas!"
Yaani iwe inawaka hapohapo siyo kama tubelight inachelewa au kama faulty wiring haiwaki!
🤣🤣🤣🤣
Maneno ya kisiasa bwana!
#Shikamoo2020#TutaelewanaTu#ChangeTanzania
Makubaliano hayo yamefikiwa leo Beijing katika mkutano wa Balozi Mbelwa Kairuki na Mkurugenzi na Mtengenezaji wa Kipindi cha Travel Channel cha Hainan Television Bi Xie Xiao na timu yake. Bi Xiao ameeleza kwamba Televisheni hiyo ina watizamaji milioni 200 nchini China
President Yoweri Kaguta Museveni has described #JuliusNyerere, the ex-president of #Tanzania as the most important person in the human history of #Africa as far as promoting unity on the continent is concerned. https://t.co/NxrA2MfrmI
Ninaelimisha watu waliolala kama wewe. Hela zinazogawaliwa lazim zitoke mahala. Mjiulize huyu RC hizi hela kazitoa wapi? Ni swali muhumi sana. Maana kama sio mshahara wake basi anafanya biashara gani kama RC? THINK!!
Hii ni choo ya shule ya msing iponya kata ya iponya wilaya ya mbogwe inamatundu kumi imekamilika nainatumika tunaishikuri halimadhauli mbogwe kwa ushirikiano wao
Kamati kuu MBODANET.Tathimini maendeleo Mbogwe.Hatua nzuri ya kuigwa madarasa na Zahanati.ushiriki wa Jamii mzuri kutekeleza Falsafa'Hapa kazi tu'.#Chukua hatua jengea uwezo@Oxfam
Hii ni kokoto ambayo imekatariwa na kamati ya ustawi wa jamii kuwa sio kokoto nzuri kwaajiri ya ujenzi wa choo ya shule ya msingi iponya ambayo haina choo mpaka sasa na ina choo cha muda chenye matundu mawili ambayo yanatumiwa na wanafunzi 967 wasichana 483 wavulana 484
@zittokabwe Kiongozi nakuomba urudishe heshima yako ya kufuatialia wafujaji wa mali za serikali kwani 2009 ndio uliyefumbua suala la ESCWORO lakini sasa hivi wewe umekuwa mtu wa kupinga maendeleo yanayoletwa na raisi wetu hebu ungana nae ili uwe mtanzania wa 2009 ambae ulikuwa kiongozi mzuri