ILI TWENDE VIZURI.Tukubali kuwa watu Wazima.Watu wanaokula Chakula kigumu.Yaani tujue Jema na https://t.co/Gqa5XrPWqp tukubali kuacha mabaya na tutende yaliyo mema tu .Mabaya kamwe, yasitoke vinywani mwetu.Kwani ni chukizo.Upendo utawale.
@mamayukokazini@Nkololotz Hakika Jamii yetu inahitaji kuona Amani,Utulivu,Usalama,Ustawi na Mshikamano,ili Kuleta maendeleo Endelevu.Haya machukizo na makwazo ni Dhambi kwetu.Kila moja awe na Hofu ya Mungu.ulimi kiungo kidogo matatizo yake makubwa.Tujitafakari.
@wizara_afyatz Hongera Mh .Kazi kipimo cha Utu.Wizara hii itaendelea kuboreka Sana . Viongozi wake mnajipambanua kweli katika kuwatumikia Wananchi.Karibu na Mbogwe ujionea haya Maboma ya Zahanati ya Nguvu za wananchi yanayohitaji kukamilishwa ili kusogezea jamii Huduma za Afya.
@MsigwaGerson@mchengerwa_m Hongera Sana Mh.Waziri. Waraghbishi,Watu wenye kiu ya Haki na wapenda maendeleo.Tunakupongeza kwa Dondoo Hizi zenye lengo la kuwajibika ktk kuwatumikia wananchi.
@CloudsMediaLive Safi kabisa.Ndoo maana Wananchi wa. Wilaya ya Mbogwe Jimbo la Mh.Maganga.wamekuwa na kiu ya kupenda kufikiwa nawe Mh.Waziri @ummymwalimu ili uone kazi kubwa walioifanya kujenga maboma Taklibani 70 ili Serikali ipaue. Jamii inahangaika kufuata Huduma mbali.
@Jambotv_@DBiteko Hakika uzalendo unahitajika katika kuwatumikia wananchi. Uraghbishi unamwongoza kiongozi kutii matakwa ya Utawala https://t.co/2UMyBYAL4k umuhimu wa Viongozi wenye Dhamana ndani ya Serikali kukata mirija.Ili waitumikie Serikali Pekee Kwa Uadilifu.Kusiwepo makandokando.
ILI KUBORESHA NA KUPATA MAENDELEO YETU ZAIDI. ,,.............Tuwe na tafiti shirikishi.Tuangalie https://t.co/gkjYypiM81 tunakotaka kwenda.Tuangalie mbinu muafaka za wakati huu, na kizazi kilichopo.Lakini tuimarishe umoja na mshikamano Kwa maslahi ya Mwananchi.
HISTORIA.Tumetoka mbali kimaendeleo.Tujivunie Nchi yetu.Huko nyuma ,Bebeo la Mtoto ngozi ya Kondoo,Vazi magome ya miti/Lubega.Godoro nyasi,Nyumba Ngondano ,kikombe Kata,Umeme kijinga cha moto,kusaga unga kwenye jiwe NK. ,Tuelezeni ukweli Tuijenge Nchi yetu.
UFAHAMU URAGHBISHI. Mfumo wa kufanya kazi za jamii ndani ya Jamii kupitia wanajamii wenyewe.Unatambua Jamii si Ndoo tupu.Unahitaji.Uwazi,Ushiriki,Uwajibikaji,Usimamizi na Ufuatiliaji.Una matokeo chanya ktk kazi.Mbogwe ya mfano Kwa Uraghbishi.Unaimarisha Uadilifu
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Doto Biteko;
1.Ana nidhamu na adabu kwa Mungu
2.Kwa haraka haraka hana Makandokando
3.Ana nidhamu na adabu kwa watu wa Mungu
4.Hakifanyi cheo chake Kimtofautishe na watu wengine.
5 Anaheshimu kila mtu wenye nacho na wasionacho kwa kifupi ni mtu wa watu kweli kweli.
@GillyBonnyTv Hongera Mh.Naibu Waziri Mkuu. Na Waziri wa Nishati.Waraghbishi Mbogwe.Watu wenye kiu ya Haki na wapenda Maendeleo.Daraja la mafanikio ktk maendeleo, kati ya Wananchi na Viongozi wa S/ Mitaa Mbogwe kwenye utekelezaji Vipaumbele na utatuzi Changamoto za jamii
Hongera sana Mhe Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati. Mungu akusimamie katika utekelezaji wa majukumu yako.
@ortamisemitz Kweli wanafanya kazi vizuri.Pongezi ni Haki Yao.Kupitia Uraghbishi Mbogwe tumeona kazi nzuri ya Tarura hapa Mbogwe.Tena ni wasikivu https://t.co/D9tenynSdc wepesi ktk https://t.co/esQP57CUtX Taasisi ya Mfano.
@JamiiForums@kibiki001 Waraghbishi Mbogwe.Watu wenye kiu ya Haki na wapenda maendeleo Tunakupongeza Kwa kuliona Hilo.Chukua Hatua Leta maendeleo.Nyumba ni Choo.
@kibiki001 Hongera Sana Mh.Waziri Kwa kazi nzuri za Wizara ya Maji.Jamii ya Wilaya ya Mbogwe inasubiri maji ya ziwa Victoria Kwa Ahadi ya tangu miaka 4 iliyopta.Tunakuamini,uje mtume ndoo kichwani Mama wa Mbogwe Kwa Maji ya Victoria ambayo yako hapa jirani Kahama Tu.
@Dodoma_Zone_ Usimamizi na ufuatiliaji ni muhimu ktk kudhibiti mianya ya Rushwa na Kuimarisha uadilifu.Mfuko wa Jimbo Mbogwe.Hongera Mh.Maganga Mbogwe iko kazini.Uraghbishi Mfumo wa uwazi,Ushiriki na Uwajibikaji.#Chukua Hatua Leta maendeleo.Mbogwe _Uraghbishi Kwa Maendeleo.
@Twaweza_NiSisi Huo ndio Uraghbishi.Maendeleo Kwa Hisani ya https://t.co/gK2cVk7iit huo ndio Utawala Bora.Wananchi watekeleza Vipaumbele vyai kwenye Vijiji vya Mradi wa Uraghbishi Mbogwe.
Ziara za kubadilishana mbinu na uzoefu Kwa kamati za Wananchi na Viongozi waVijiji vya Mradi wa Uraghbishi Mbogwe, ili Kuwa na matokeo chanya ktk kutekeleza Vipaumbele vya Wananchi.@Twaweza_NiSisi@ortamisemitz
Kamati za Wananchi na Viongozi wa Vijiji vya Iboya na Bugalagala Wilayani Mbogwe. Wakiwa kwenye Ziara ya kubadilishana mbinu na uzoefu wa KAZI ktk utekelezaji wa Vipaumbele vya Wananchi Kwa ajili ya maendeleo ya wananchi kupitia Mradi wa Uraghbishi Mbogwe.