Anaandika
@Hilda
Baada ya Uchaguzi wa ndani ya Chama chetu nilikuwa nafahamu kwamba Freeman Mbowe alikuwa na kinyongo na Mhe. Lissu ila sikuwahi kuwaza kwamba anaweza kuwa na kinyongo kiasi kwamba akafika hatua ya kushirikiana na Wauaji kumkandamiza Mhe. Lissu.
Unaambiwa wakati wa kesi ya mchongo ya uhaini dhidi ya Mhe. Lissu Mbowe alikuwa miongoni mwa watu ambao walikuwa wanashinikiza sana Mhe. Lissu atiwe hatiani kwa makosa ya uhaini, yani hata hiyo miaka minne ambayo Mhe. Lissu kahukumiwa yeye anaona bado ni michache sana.
Halafu nakumbuka kipindi kile Mbowe alipotoka jela na kuibukia Ikulu kwa Nduli Idd Amin Mama ambae alimuweka jela miezi 8 kwa kesi ya mchongo ya Ugaidi , wakati watu wanahoji imekuaje kaibukia kwa mtu aliyemfunga? wengine tulikuwa tunamtetea kwa kusema Mbowe moyo wake hautunzi vinyongo, Anaroho safi kumbee bado tulikuwa hatumjui vizuri ila baada ya Mhe. Lissu kushinda Uenyekiti ndo tukajua rangi zake zote.🤧
Mpaka sasa Mbowe amefanya na anaendelea kufanya vikao na Nduli Idd Amin Mama pamoja na vibaraka wake kupanga njama za kuiangamiza CHADEMA, kamwambia Nduli Idd Amin Mama kwamba ili kuiua CHADEMA mazima ni lazima Viongozi wote wa juu wawekwe ndani ndo kazi ya kuteka Chama itakuwa rahisi kibaya zaidi bado yupo kwenye group la Kamati Kuu so unaambiwa Nduli anajua kila ambacho kinajadiliwa kwenye hilo group na anajua msimamo wa kila member wa hilo group.
Ndo maana Nduli Idd Amin Mama kwenye team yake ya Maridhiano, amemuweka Mbowe kwenye kundi la Wazee Wastaafu aliowabatiza jina la “Reference group” lengo ni aendelee kuwasaidia kufanikisha mipango yao kubadilika baadhi ya vifungu vya Katiba ili Nduli aendelee kubaki madarakani hadi 2035 bila kuwepo na kizizuizi chochote.
@MrB_Official04 Wito maran gapi na hao walagai nyiye mnapewa vijiele vya maji mnauza vijana wezenu ambao hawawezi kufikia hiyo meza.
Bila HAKI , UKWELI NA UWAJIBIKAJI, HAKUNA MAPENDANO.
Leo #MariaSpaces tunajadili: A luta Continua Kataa Uonevu #FreeTunduLissu
Mapambano yanaendelea ila muhimu kusimama imara na kukataa uonevu wa serikali haramu na ya kidhalimu! Kususa nayo ni maandamano! Tutumie mbinu zote
Leo saa 2 usiku.

Kuna wakati huhitaji Lissu akuambie kwamba utekaji ni jambo baya sana.
Kuna wakati huhitaji Heche akuambie kwamba mauaji ya tarehe 29 Oktoba ni ukiukwaji mkubwa wa utu na haki za binadamu.
Kuna wakati huhitaji wanaharakati wakuambie Watanzania ni maskini na sababu ni utawala
Leo #MariaSpaces tunajadili: A luta Continua Kataa Uonevu #FreeTunduLissu
Mapambano yanaendelea ila muhimu kusimama imara na kukataa uonevu wa serikali haramu na ya kidhalimu! Kususa nayo ni maandamano! Tutumie mbinu zote
Leo saa 2 uck
Watanzania hii ni golden chance ambayo hatutokaa kuipata tena.
Kutakuwa na wageni, hawawezi kujaza mabunduki barabarani, hawawezi kurusha risasi hovyo kuua watu….
Mechi ya kwanza ya AFCON NI SIKU YA MAANDAMANO YA AMANI YA NCHI NZIMA…….
Kwahiyo huu ndio mwisho wetu nawaza kina Dada zangu na Kaka zangu @HildaNewton21 na @Sativa255 , Mwenyez Mungu awaweke hawa ndugu zangu na wanaharakati wote mbali, na Yale mashetani ya Samia ,popote ulipo bro Mwenyez Mungu awe nawe hii dunia zote TUNAPITA 🥺💔🙌
Wakili Paul Kisabo, ambaye ni mmoja wa jopo la mawakili wanaomtetea Tundu Lissu na Mkuu wa Idara ya Utetezi katika Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), ameeleza wazi kuwa kufanya uchambuzi wa hukumu ya mahakama sio kosa la jinai na wala halijawahi kuwa kosa.
COLLETHA AONGEZEWA SHITAKA LA UCHOCHEZI.
Jana, tr 17.11.26, shauri la UGAIDI linalomkabili Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Kigoma, Kamanda Coletha Ntidiycha, lilitajwa mbele ya Mahakama ya Kisutu, na ameongezewa shtaka jipya la uchochezi linalohusishwa na tuhuma za kuchochea umma.