Aliyetengeneza Shazam App ni Genius sana, pure maths kuanzia sound waves (mawimbi ya sauti) to FFT Algorithms to Frequency Fingerprint to Database searching ndani ya sekunde kadhaa tu.
Shazam is one of the pure Innovation in Music Technology ⚡️
Kuna watu ni wabaya sana, ila Wana kundi kubwa la watetezi wenye ushawishi..
Kuna watu ni Wema, ila wamenyimwa uwezo wa kujieleza..
Kuna watu ni wa kweli, ila hawajui kutumia ndimi zao..
Kuna watu ni makatili mno, ila Wana kauli za busara..
Usihukumu usichokijua undani wake.
BRO To BRO
1. Ukiwa unakula, kula
2. Ukiwa unafanya kazi, fanya kazi
3. Ukiwa kwenye biashara, fanya biashara
4. Ukiwa kwenye ndoa/mapenzi, kuwa kikamilifu humo
Watu wengi hawana focus, Wako Mezani kula, lakin akili iko kazini. Wako kazini, akili iko kwenye mapenzi
Focus 👊🏽👊🏽
Mwanaume linapokuja swala la SEX hautakiwi kabisa kuwa mvumilivu.
USISIKILIZE maneno ya kijinga kutoka kwa mwanamke kama vile:
• Tufahamiane vizuri kwanza
• Mimi ni mlokole sex ni mpaka niolewe
Mtu ambaye amekuwa sexual active hawezi kukunyima iyo Wet'Crack kabisa unless hajakuelewa kabisa.
Kama anakataa kujali hisia zako za kimwili, usijilazimishe. Nenda kwa mwanamke mwingine.
Sex should come first then relationship can be discussed kutokana na tabia zake na mwanaume ndio mwamuzi wa kuwa na mahusiano au la.
Sex ni Gundi inayoshikilia uhusiano kati ya mwanamke na mwanaume pamoja, bila Sex huo ni 'urafiki' tu.
Na maranyingi unakuwa 'URAFIKI WA UPANDE MMOJA' Ambapo mwanaume utatoa rasilimali zako kama pesa, muda , attention and likes pasipo kupata chochote in return.
Mpenzi wako unayemthamini sana lakini hakupi kipochi kuna mwanaume mwingine anaichapa bila limit na hatoi vitu kama unavyotoa.
Unajiepusha kumkosea eti kisa ni mlokole Lakini, kwa ground anatoa style kibao kwa Bed kwa mwanaume anaemuelewa.
Unapomfuata Mwanamke hakikisha unaweka Demands zako kwanza, sasa unamtaka wewe badala uelezee uhitaji wako kwake unahudumia haja zake yeye ili akuelewe STUPID.
NEVER be good, nice and understanding.
Be direct kama atakataa, yeye pia hatoweza kuwa anaomba omba mahitaji yake wakati anajua alikukataa tofauti na ukijifanya rafiki akakuzoea.
Hii inaokoa gharama na kukuondoa kwenye eneo la kunyonywa as well as kuwa friendzoned.
Mwanamke bora hawezi kukuomba pesa kwa ajili ya nywele/simu au kukulipisha bill kubwa..
Ni kweli soko la mahusiano limejaa wahuni kibao, lakini hizo sio shida zako
Wanawake bora wapo kila sehemu, usikomae kuishi na mwanamke anayefanya maisha yako yawe magumu..
Kaka, sio kwamba yuko bize.
Hajibu meseji zako na hapokei simu zako kwakua hauna hela.
Huwezi kumnunulia vitu anataka, na huwezi kumpeleka sehemu nzuri.
Anajiheshimu vya kutosha kiasi cha kutopoteza sekunde kuzungumza na watu wasio na hela.
Nenda kalilie pembeni au pambana.