Enyi wala nchi hii na wamwaga damu kutaneni na akili kubwa ,kwanza mwanaharamu Katuga uko wapi au ndo upo kwa Abduli unapapaswa? Mmeuza utu wenu kwa Lucifer Samia mtakoma
‼️🚨DPP AMWANDIKIA JAJI MKKUU AINGILIE KESI YA LISSU ‼️
Kesi ya Lissu imewabana serikalini maana kawashinda kitaalam mahakamani sasa wanataka Jaji Mkuu aitishe faili aipitie na awape pointi za ushindi bure! 🙄
Kwa kifupi DPP na ofisi yake wanataka
1. Kupitiwa kwa uamuzi wa tarehe 24 Februari 2026 uliokataa ushahidi wa ziada
2. Pia wanataka kupitiwa uamuzi wa Jopo la Majaji wa tarehe 23 Oktoba 2025 uliokataa kupokelewa Kwa ile flash ya video ikimuonyesha Lissu akisema Tutakinukisha.
Ushauri kwa Jaji Mkuu Masaju - apuuze hii barua aache DPP apambane na hii kesi ya kuchonga
Kama refa aseme “no foul, play on!”
Serikali iache danadana it’s simple #FreeTunduLissu
Haya ndio maisha ya watanzania wote wanaoamini katika HAKI.
Pole sana Father Kitima kwa yote mazito unayopitia kwasababu ya misimamo yako ya kusimamia HAKI kwenye nchi.
Watekaji hawana hofu kabisa hata kwa viongozi wakiroho kwao kuwateka ni jambo la sekunde tuu.
Tumefikaje hapa kama taifa? Jibu ni jepesi UJEURI WA wakoloni weusi.
TUTAKUWEPO🫵😎
Level tofauti kabisa! Nay wa Mitego na ‘Tupo Busy’ 🔥 Gen Z komaeni YouTube kumzalia support, wakuda wanajaribu kujua secret, Lakini Nay anacheza game ya pro 😎 Oyaaa , kama nyuki YouTube Now!!! Nay Lazima awe Top!
Taarifa kutoka Mkoa wa Kipolisi Kinondoni.
Makamu Mwenyekiti Mh. John Wegesa Heche amesafirishwa kutoka Dodoma leo hii na kuletwa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni
Amepewa tuhuma za mbili:
1. *Kujihusisha na Vitendo vya Kigaidi* kutoka Kimara mpaka Magomeni
2. *Kujihusisha na vitendo vya Kigaidi* maeneo ya Msewe na Extenal
Mara baada ya kutakiwa kuandika maelezo ya Onyo ametumia haki yake ya Kisheria ya kukataa kuandika maelezo na atatumia haki hiyo mara baada ya kupelekwa Mahakamani!
Taarifa zisizo rasmi muda wowote atapelekwa Mahakamani.
Hekima Mwasipu
Wakili
Mpaka mda huu 22:55usiku Familia ya #JosephMwasote wamefika kituo cha polisi Tunduma na Mpemba na kuambiwa wao hawamshikilii cha Kushangaza gari aliyokuwa nayo china wakati wanamchukua ipo kituo cha polisi Mpemba ikiwa imeondolewa plate number #TanipolSongwe China yuko wapi ?.
ALERT: Walimu wote Tanzania, mnashauriwa, kwa usalama wenu, mkae mbali na vituo pamoja na mambo yote yanayohusiana na upigaji kura. Yeyote atakayejihusisha, atajiweka hatarini, pamoja na familia yake yote. #TanzaniaLeaks
Kitu pekee naamini, pamoja na mambo yote mabaya ambayo yanatokea, CHADEMA sasa, TUPO KATIKA NJIA SAHIHI na TUTAVUKA SALAMA. Vita ni kubwa sana kutoka kwenye DOLA na marafiki wa DOLA. Lakini, CHADEMA lazima ibaki salama na watoto wetu wataitumia kutengeneza TANZANIA waitakayo.
My dear brothers, thank you for rebranding our politics. Rallying behind you all the way. Tarehe 29 tutawatoa ktk minyororo ya watekaji. Stay stronger.