TUSIKOSE JUMAPILI HII.
BY THE GRACE OF MY MAN OF GOD, UEBERT ANGEL THAT IS UPON ME, be ready to PARTAKE every Grace.
Kumbuka ni JUMAPILI YETU YA KWANZA YA MWAKA, NJOO UMEJIANDAA KUPOKEA. @UebertAngel#ZOEEMBASSYGLOBAL
KWAKUWA NI HALALI KWA WAZANZIBARI KULINDA HAKI ZA WAZANZIBARI HAIWEZI KUWA HARAMU KWA WATANGANYIKA KULINDA HAKI ZA WATANGANYIKA.
Kwa yanayoendelea kujitokeza katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar kuhusu kujitanabaisha kwa misingi ya Uzanzibari na kulinda maslahi ya Zanzibar, je, si wakati sasa kwa Watanganyika nao kuzungumza kwa uwazi, kuhoji kwa uhalali na kujadili kwa kina masuala yanayohusu haki, hadhi na maslahi ya Tanganyika?
Je, Watanganyika hawana haki ya kuhoji na kulinda:
1. Bandari zilizopo ndani ya Tanganyika.
2. Misitu na rasilimali za mazingira za Tanganyika.
3. Rasilimali za asili zilizopo katika eneo la Tanganyika.
4. Hadhi, haki na umiliki wa ardhi ya Tanganyika.
5. Nafasi, haki na uwepo wa watu wasio Watanganyika katika idara na taasisi ambazo si za Muungano.
6. Uhalali wa viongozi wasio Watanganyika kuingia au kusaini mikataba inayohusu rasilimali za Tanganyika, hususan pale ambapo baadhi ya masuala hayo tayari yameondolewa katika eneo la Muungano kwa upande wa Zanzibar.
7.Kuhoji mchango wa Zanzibar katika kugharimia gharama za uendeshaji wa shughuli za Muungano na Ulipwaji wa Deni la Taifa.
Ikiwa ni halali kwa Wazanzibari kujadili, kuhoji na kulinda maslahi ya Zanzibar kwa misingi ya utambulisho wao wa kisiasa na kikatiba, kwa mantiki hiyo hiyo haipaswi kuwa kosa kwa Watanganyika kuhoji, kujadili na kutetea maslahi ya Tanganyika.
Katika mfumo wowote wa haki, usawa na kuheshimiana ndani ya Muungano, haki ya kulinda maslahi ya Zanzibar haiwezi kutenganishwa na haki ya Watanganyika kulinda maslahi ya Tanganyika.
Haki hizo zinapaswa kutambuliwa kwa usawa, bila upendeleo na bila kuonekana kuwa ni tishio kwa Muungano, bali kama sehemu ya kujenga Muungano wenye misingi ya haki, uwazi na kuheshimiana.
UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI ndiyo Msingi bora wa kuliongoza Taifa kutoka katika vitendo vya Ukatili dhidi ya ubinadamu,ukiukwaji wa Haki za Raia na,Mauwaji na Utekaji vilivyofanyika kanla,wakati na Baada ya Tarehe 29 Oktoba 2026.
BAK MWABUKUSI.
Del Monte Kenya has moved from a pineapple-only farm to a diversified agribusiness.
It now grows other fruits, produces biofertilizer from farm waste, and is expanding work in water use, land management, and community programmes.
Hii movie ya Gabo ni nzuri sana tatizo linakuja kwake kutotaka kutoa credit kwa muhusika na mwandishi wa simulizi hii bwana Sammy Segumba.
Tujifunze ku appreciate jitihada za watu kijana kaandika kawa director kwenye Filamu yako unashindwa hata kumtaja really???
Kenyan President William Ruto said allowing the US to build an Ebola quarantine facility in Kenya was the “right thing”.
At least two people were killed this week in protests against the facility, which is being built on a US air force base for Americans exposed to the virus.
Kenya's cabinet secretary for health is asking for USD 20 million (KSh2.6 billion) to prepare for the first 100 Ebola cases.
Which Ebola cases? From where?
Ebola Billionaires.
Tukuwe serious kidogo Hanifa. What prevented these ladies/women from seeking legal redress via courts?
I believe if the UGM party were unfair then the courts would have done better.
Or did the party also prevent them? Did they report to the police? OB?
Also read 17.
Kazi ya commercial Activists Ni kupiga picha mbele ya tear gas Na kupotea. Real activists ndo uumia.
I was happy ata Trump stopped USAID for a reason. NGOs Na donors ni a source of problems in our country.
Happy World Milk Day 2026!!
Rwanda’s milk production reached 1,152,514MT in 2024/2025, highlighting the steady growth of the dairy sector and its contribution to nutrition, livelihoods, and economic development.
#WorldMilkDay2026#AgriUpdatesRw
Kanye West, also known as Ye, who has been barred from performing in several countries due to past antisemitic comments, drew more than 100,000 fans to a concert in Istanbul on Saturday night. https://t.co/MQZpI1XxvK
🐄 Premium 7-Month Incalf Pedigree Heifer Available
🔹 Excellent body condition
🔹 Superior dairy genetics
🔹 Perfect for expanding or upgrading your herd
📞 +254713802746
Book yours today and invest in quality that pays back for years to come 🐄🌱🔥
GENETICS 🌾✅️
Farmers here in got 2 super gaints pedigree 8months incalfs with a well followed steaming regime ✅️
Both are served with selected semens from WWS ✅️
Pricing 580,000/_kes both 🌾✅️
Call/whatsup +254713802746 for purchase & delivery