TAL ni special creature. Ni viumbe wachache kama TAL katika siasa zetu. Wanachama wa CHADEMA tunamuunga mkono kwa kuwa siasa zake hazina mawenge. TAL anastahili kutuongoza. Dhamira ya waliomtupa gerezani ni awasujudie. Amegoma kupiga magoti. Jambo moja ni hakika, TUTASHINDA.
#TajiriLaKihaya
My Last Born, ISFA ISSA- Katimiza miaka MIWILI leo siku ya nane nane…
Nisaidieni kumpa Birthday Blessings and Wishes… Akikua atakuja kuzisoma- IN SHA ALLAH🙏🏽
Pastor wenu, kama alivyowajenga, amelala nyumbani kwake na ‘mashine’ ziko uwani, ninyi mmelala nyumba za kupanga na hamna usafiri. Mmemuelewa? Wajinga ninyi!!
Tayari wamekamilisha taratibu zote za kulipa faini ya shilingi milioni tano kwa ajili ya Mchungaji Shaniel Sosoa.
Mungu awabariki wote mliotoa michango yenu kwa ajili ya kuhakikisha Mchungaji anapata uhuru wake.
Kesho saa tatu asubuhi ataachiwa huru.
Hamna mtu ananipa uchungu kama huyu Mshkaji hasa nikiangalia movement za Godfather wake..
😳 Kama kijana umeamua ufanye siasa fanya kwa akili sana kama mtu alieamua kuishi na Kahaba.
Waliosema na kuasisi kauli mbiu ya #HakunaKuhamaChama kwa madoido katika uchaguzi wa ndani wa chama chetu ndiyo karibu wote wameamua kuhama chama. Haikuwa na dhamira ya kweli. Haikutokana na ushindani wa ndani wa kisiasa. Maana yake, hii ilikuwa kauli mbiu ya KITAPELI tu.
🔥SIMBA WA TANGANYIKA‼️
They call him radical, activist but in reality he is a game-changer, a disruptor, a maverick who has changed the political landscape of #Tanzania since January 2025 - today he has been vindicated in so many ways!
He is jailed for disrupting the oppressors and the corrupt! He is not your average politician because he doesn’t play political games! His main interest is Justice and a just, free democratic system for generations to come!
No more grey areas! Black is black and white is white AND green is green 😁👊🏽
#FreeTunduLissu
Ukutana na binadamu wa Kwanza kutoka Tanzania aliye puliza mtungi wa gas mpaka kujaa na ukatumika kwa wiki mbili. Qumamake tunadai no reform no election mpaka makanisani na misikitini acheni usenge
Muda wa meditation🧘♂️
Niko hai. Nina afya. Huu ni utajiri wa kwanza
Sina tamaa. Natosheka na nilicho nacho sasa
Utajiri wangu unaanza moyoni, si mfukoni
Nashukuru kwa kila hatua ya maisha
Maisha yananipenda, nami nayapenda maisha
Nina nguvu ya kuvuta baraka & nuru maishani mwangu
Mungu ni mwema sana
@TunduALissu changed EVERYTHING in January
Now the spirit of Confusion is reigning 🔥
Binadamu hupanga
Mungu hupangua
Haya yote bila matokeo ya uchaguzi wa ndani ya Chadema yasingetokea
Ilipangwa wagombea 2025 wawe wanawake kutoka vyama vyote vitatu CCM, CHADEMA na ACT kwa kigezo cha jenda balansi 😁
Mtu alinitonya Julai 2024 - ila Lissu kawavurugia mipango
Mwenyezi Mungu tunakushukuru kwa haya yote maana umeamua kutufunulia ukweli wote
Amina 🙏🏽
@EduTalkTz Huwa natafakari sana na mara nyingi kwa machozi, hasa nikikumbuka alivyofanywa 2017; kosa la TAML ni lipi hasa? Je, ni kusema kweli kuhusu sheria za raslimali ya asili? Je, nikusema ukweli kuhusu hitaji la reforms before elections?
Eniweis, Mungu atalimaliza hili pia.
Kauli mbiu ya ukipigwa kwenye Uchaguzi wa ndani ya chama “Hakuna kuhama chama” ilikuwa mahususi kwa ajili ya Mhe. Lissu na sisi tuliokuwa tunamsapoti maana wenzetu walikuwa na uhakika wa kushinda kwa asilimia mia sasa walisahau kwamba binadamu tunapanga na Mungu nae huwa anapanga yake.
Leo waliokuwa wanasema “HAKUNA KUHAMA CHAMA” asilimia kubwa ndo hao wanahama CHAMA.
Bro, kama bado upo hai tambua:
-Ndoto zako hazijafa
-Maono yako hayajapotea
-Vita yako haijaisha
-Meza lazima zipinduke
Hujapewa nafasi ya kupumua leo kwa bahati mbaya, kuna kitu kikubwa nature inakudai, na huu ndio muda wa kukifanikisha
Amka kinoko, tupindue meza kinoko
GM🌤