@AnnaTibaijuka@SuluhuSamia "Chura kiziwi" hawezi kusikia, na akisikia hataelewa, na asipoelewa hatachukua hatua yoyote. Walio karibu naye nao pamoja na mapihechidi, yao akili zimekuwa clowded na njaa.
Anyways, umezungumza vyema na tunakuunga mkono. Tuendelee kuzungumza na iko siku atasikia.
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
I think tuwe makini na jinsi tunavyoitisha haya maandamano ili yasizoeleke.
Unless kama yatatokea tu bila kupangwa, ila haya maandamano ya kuitishwa wanaharakati, we have to be very careful.
Tuta dilute our own power ya kuitisha maandamano……. Na tukishaipoteza hii power ni tatizo…… WE HAVE TO USE THIS POWER VERY CAREFULLY.
I think kwa sasa wanaharakati tufanye kazi ya kuelimisha wananchi umuhimu wa maandamano ya kutokea bila kupangwa, yani umuhimu wa maandamano ya kulipuka ghafla bin vuup. Tupeleke nguvu huku, tuwafundishe wananchi jinsi ya kuandamana ghafla kabla Serikali haram haijajipanga kuzuia maandamano.
Then tutumie muda huu kupanga kwa umakini mkubwa na a lot of groundwork ifanyike ili tufanikishe maandamano ya AFCON!!! Hakuna maandamano yatakayotusogeza kama maandamano ya AFCON!!!! Unless Mungu ajalie hapo kati yatokee maandamano ya ghafla. Ila mi naona Tupeleke nguvu kupanga maandamano ya kihistoria ya AFCON 2027.
Anyway, hayo ni mawazo yangu tu, nyinyi mnaonaje?
Wahuni walikuwa wamejipanga kuimaliza kabisa CHADEMA na mipesa kibao waliaanza gawana
Kufanya Press unapigwa million 3
Hila hii nchi watu wana Njaa, kusaliti umma unafanya kwa millioni 3 ? wakati Samia na Mwanae wana magari ya mabilioni? Abdul ana gari billion 5 hataki hata haya ma V8 naona takataka
Halafu kutetea mtu kama huyu ni million 3? maana unaposhambulia upinzani au wanaharakati unachofanya ni kupalilia ufisadi wa Kikwete, Samia na CCM wanaotafuna hii nchi kama Mchwa, halafu unapewa million 3 ?!!! kama sio ujinga mkubwa ni nini? njaa tupu
CHAGUA CHADEM tuendelea mapambano ya mabadiliko nchini, tutapunguza hata hizi njaa zinazodhalilisha watu
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Katiba mpya si hitaji la kisiasa bali ni hitaji la kimaendeleo, kijamii na kiutu. Wakati mataifa mengi yamefanikiwa kwa kuweka Katiba zenye mwelekeo wa haki na usawa, Tanzania nayo inahitaji Katiba inayoweka msingi thabiti #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
@MariaSTsehai Auwe ndugu zetu zetu wasio na hatia halafu amshikilie mzalendo wa nchi Lisu kwa kisingizio cha kuwa huyo ndio amesababisha mambo mengine hata mtu asie na akili anashangaa hivi kweli nchi hii imekosa wa kumshauri
Nimeambiwa kimama kinasema hamwachii Lissu bila masharti maana itatupa ushindi wanaharakati na Chadema! Seriously?
Yaani mngejua alivyo na mambo petty mngeshangaa! Anataka kuleta bifu zile za kitaarab kwenye mambo ya kitaifa!
Utamwachia tu Lissu nakwambia 🤣
Sasa nchi inaingia shimoni kakaza fuvu! Na watanganyika mliokaa naye mnamwangalia tu? Mnamwogopa papai kichinchiri?
Eniwei #TutaelewanaTu
Sisi tutawafinya na kuwabana hadi mtie akili! Hata mtuite majina yote - eti magaidi! 😁 mmedata!
Baba - Raisi Mstaafu.
Mama- Mbunge.
Mtoto: Mbunge & Waziri.
Lazima utuone tunaodai KATIBA MPYA hatuipendi AMANI ya hili taifa.
Tunataka KATIBA MPYA tukomeshe HUU UPUMBAVU.
Hii ni nchi ya watu zaidi ya milioni 60 haiwezekani miaka nenda RUDI ni nyie tuu na familia yenu kama hii nchi ni URITHI WA UKOO WENU.
Tunataka katiba mpya tusafishe huu uozo wote huu.
🚨SOMA HII🚨
‼️MBINU MPYA YA KUJARIBU KUBOMOA CHADEMA HII HAPA‼️
Baada ya jaribio la kumwua Heche na fitna za mitandaoni kufeli sasa kimama kiuaji amewahusisha viongozi na wafuasi wa CCM, CHAUMMA waliowahi kuwa Chadema pamoja na mamluki ndani ya Chadema kujaribu kufanya collective action kumwondoa @HecheJohn eti wamtoe Lissu akiwa mnyonge na akute maridhiano imeanza! Baadhi ya viongozi wa dini wameshapangwa waende kumwangukia kimama!
👉🏽Mbinu hii inahusisha baadhi ya watu waliowahi kuwa JOC wa CHADEMA kwa maana ya Jimbo Operation Commander - hawa walitumika kwenye masuala ya uchaguzi Chadema chini ya uongozi wa awamu iliyopita na baadhi walishawishiwa waende CHAUMMA ila wametoka mikono mitupu !
Sasa wamepewa kandarasi ya kuhonga viongozi wa wilaya CDM waende Dar kwenye press conference waanze kumlalamikia Heche na kutaka ajiuzulu!
Wanalipwa milioni 1-3 kila kiongozi wa wilaya na wamefika wilaya nyingi nchini ikiwemo baadhi ya wilaya za Tanga, Lindi, Mwanza na Pwani!
Mbali na hawa JOC pia baadhi ya viongozi waliofukuzwa au kuondoka kwenye chama wanahangaika na simu na nimeshapewa audio nyingi ila kwa sasa sitaweka wazi kwanza ili waje wajae 😁
Nacheka maana nimefurahishwa kuona kuna viongozi waaminifu wengi ndani ya Chadema waliokataa kurubuniwa 👊🏽
Wito kwa viongozi WOTE wa wilaya na wengine MSIRUBUNIWE! Hawa wanaowahonga milioni 1-3 wamepewa milioni 5 na zaidi kuwahonga kila mmoja wenu na wamekula pesa - so mmeshaliwa mkipokea pesa
Pili hizi pesa zina damu za ndugu zenu watanganyika - msijiletee laana na msijimalize kisiasa kwa bei chee! Atakayetoa pua kuongea mambo ya Heche sijui nini anajimaliza kisiasa milele!
👉🏽Pia mkakati unaendelea hawa watakaonunuliwa waende kuvuruga Baraza Kuu ingawa Tundu Lissu LAZIMA kimama amwachie mapema so hii naona ndo useless kabisa!
👉🏽Na mwisho kabisa wanataka hawa viongozi waandike barua kwa msajili wa vyama kumshtaki Heche! Watengeneze crisis! Stupid kabisa 🚮
Sasa narudia atakayekubali kufanya hii kazi ya kishetani nitamshangaa atakuwa ni mpumbavu! CCM na kimama wanapumulia mashine na tunaenda kuzima mashine! Sasa tukishakomboa nchi mmepanga kuishi vipi na hii aibu ya usaliti!
ACHENI ❌
Hakuna pesa inayoweza kununua heshima!
Chadema imeshapata idhini ya Mungu pale ambapo Januari 2025 walipochagua hii timu ya uongozi! Na mmelipa gharama kubwa kufika hapa msikubali kurubuniwa na vijisenti wakati kuna neema kubwa mbele
KATAA WAHUNI ❌
#TutaelewanaTu #FreeTunduLissu
CHADEMA iko imara zaidi sasa! Msiyumbishwe. Adui yetu mkuu anajulikana. Ni dola dhalimu na katili ya CCM inayofanya kila njia kutudhoofisha. Kuwa kiongozi au mwanachama wa CHADEMA ni msimamo wa kijasiri na utayari wa kupambana kulinda ustawi wa chama chetu. Kusimama imara ndiyo silaha yetu. #PeoplesPower
"Kamati kuu imepokea na kujadili kauli iliyotolewa tarehe 26 Juni 2026 na Bwana Patrobas Katambi (aitwaye Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi wa serikali haramu na batili iliyojiweka madarakani kwa kumwaga damu za Watanzania), akiwa bungeni, Jijini Dodoma juu zuio dhidi ya mikutano ya vyama vya siasa nchini.
Kamati Kuu imejiridhisha kuwa zuio hilo ni haramu, linakiuka Ibara ya 18, 20, 26(1), na 29(1)-(2) &(5) za Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ambazo zinatoa haki ya kujielezea, kujumuika, kutii na kufuata Katiba ya nchi yetu, haki ya kufaidi haki na uhuru wote uliotolewa na Katiba na kikubwa zaidi ibara ya 29(5) inataka kila mtu katika nchi yetu kutozuia watu wengine kufaidi haki zao zilizotolewa na Katiba." Mhe. @jjmnyika
CCM sijui mmemuelewa Makamu Mkiti Chadema? Msimamo.ndio huo na ni wa vikao vya kikatiba bila shaka umejieleza vyema.
Chadema "focus" ibaki kwenye agenda za chama. Free Tundu Lissu, katiba mpya na nchi kugeuzwa gulio la mafuta kwa wahuni duniani.
….. Uaminifu wa kweli hauko kwa mtu, bali kwa dhamira.
na viongozi wa kweli ni wale wanaoitumikia dhamira hiyo bila hofu.
Katika kipindi hiki kigumu Mwalimu John Heche ameonyesha msimamo na uongozi bora unaojenga uaminifu kwa uma na utii wa hiari.
Aluta.
Mkiambiwa wananchi wamechoka upumbavu hamtaki, angalia sasa mpaka “MHESHIMIWA WAZIRI” anazomewa wazi wazi mbele ya kadamnasi😂😂.
Kukimbia hawezi, kuzuia vyombo vya habari hawezi😂😂😂😂😂😂😂!!
Kazi nzuri WANANCHI, tutafika tu.
‼️🚨THE END OF A REGIME IS NIGH‼️
Deputy Minister Hamis Mwinjuma whose stage name is Mwana FA took to the stage today to celebrate 30 years of Tanzanian hip hop known as Bongo Fleva
The minute he mentioned “the government” the Gen Z crowd booed him mercilessly until he had to leave the stage!
Samia Suluhu and her illegitimate govt are deeply unpopular but that is now the news! What is astoundingly clear is that the crowd that gathered for a rare entertainment moment turned collectively and openly so hostile at the mention of the government! The rejection is not only bar conversations or social media posts but now expressed fearlessly in public
When I say #SamiaMustGo it is not only my opinion but an urgent and necessary step to resolve this crisis in #Tanzania
Ninarudia mwisho wenu umefika Samia Suluhu na CCM - lini mmewahi kuona serikali ikikataliwa kwa kiwango hiki bila woga! Mnatutukana na kututisha ila tunazidi kutambua nguvu yetu kama umma na mkikaza fuvu kuna siku mtapopolewa mawe au makopo na kufukuzwa kwa aibu!
Nchi siyo kiosk yenu Kizimkazi
Hakuna amani hadi kimama kiondoke na tupate serikali ya mpito na hatua ya kwanza ni #FreeTunduLissu 🔥
Nasema #TutaelewanaTu
Chama kilinyimwa RUZUKU ili kiwe na njaa kisha walete pesa zao za DAMU zije kutugombanisha—huu mpango nao umefeli.
WAKOLONI WEUSI mtapambana sana haitawezekana. Hiki chama ni mpango wa MUNGU.
Tunajua chama hakina pesa ila tunaambiwa HECHE kala Mabilioni—HOJA ZA KIPUMBAVU kabisa hizi kuleta kwenye jamii hii ya vijana wanaouliza maswali magumu.
Wewe ukiona “Press” nyingiiii jua tuu hapo kuna hela za WAKOLONI WEUSI. Press anafanya SHOGA “MCHOME” kuna nini hapo mzee?
Ndiomaana nilikaa kimya niliona hapa tutawapa milage tuu hawa MIKUNDU.
@mangekimambi@HecheJohn@TunduALissu Huu umbea unachangia pakubwa sana katika kukigawa chama na kukiondoa kwenye reli. Wewe @mangekimambi tunakupenda sana na kukushauri upime umbea na kuuweka kwa kuzungumza na Lema na Sugu ili ujue their side of the story ubalansishe story.
#freeTunduLissu#KatibaMpya
WATU WOTE WAJUE LEO, KWAMBA:
Kwa mujibu wa Kifungu cha 4(3)(a-h) cha SHERIA YA KUDHIBITI UGAIDI (The Prevention Of Terrorism Act) ambayo ni SURA YA 19 ya Sheria za Tanzania, UANAHARAKATI SIYO UGAIDI.