Wakuu wa Wilaya na Viongozi wa CCM wa wilaya wameanza kufanya vikao na wajumbe wa CCM namna kuhujumu uchaguzi wa serikali za mitaa.
Jana Wilaya ya Bunda na Ubungo walifanya vikao,Wanazuia wajumbe kuingia na simu zao
Tunawashukuru wajumbe kwa kutueleza Kila walichoambiwa Jana.