Wanaume huwa tunapigwa na upofu gani mpaka mkeo azae watoto watatu then wote wasiwe damu yako?
Maana yake umeshindwa kabisa kugundua watoto sio wa kwako hata kwa kuwaangalia tu
Hawafanani na wewe, hawafanani na Ndugu Yako Yeyote Wala hata bibi tu halafu unaendelea kuamin wako?
#TajiriLaKihaya
Hawa Muhogo wa Jang’ombe ukiwa ndani…
Sijui hivi viuno huwa vinapotelea wapi💔
Kuna Dancer mmoja maarufu pale Instagram… hadi leo najutia ile 1m yangu..
Mimi sio mchawi ila nimejawa na maarifa
Chukua chumvi ya mawe weka kwenye unyayo wako vaa kiatu,chukua jani moja tu la mti wa mbaazi shikilia mkono wa kushoto kisha we tembea zako mtaani
Utaona vitu ambavyo hukupaswa kuona.
Wanga wanawanga mchana,majini na vigagula
Hakuna mtu ambaye ni rahisi kumgongea mkewe kama mtangazaji,
Yaani ukisikia tu anafungua kipindi unaenda kujilia vyako na akifunga kipindi tu unaondoka zako 😁🫵🏾
Tumesajili MASHINE ambayo hamkuwaza kabisaaaaa.
Mnaenda kupasuka £100M+ kwa Guimares ambae miezi minne ijayo atakuwa na 29yrs, mnaacha MASHINE YA KAZI Tielemans (£35M).
Kuna team zinapigwa sana kwenye hili soko.😂🙌🏿
Thanks God not my team.