🗣 Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa,
Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA"
Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu
Ndio maana we choose to marry mid girls with respect, hawa classy ladies tunatumia kama Path.
‼️ALERT‼️
Nimepokea taarifa kutoka kwa mmoja wa Watumishi wa Hospital ya Mkoa Kigoma (MAWENI) kwamba madaktari wa hospitali hiyo wapo kwenye pressure kubwa kutoka kwa wauaji kuhusu Uchunguzi wa mwili wa dereva wa Mhe. John Heche Mzee wetu Suez Dani Maradufu.
Waujaji wanawashinikiza Madaktari wa Maweni wachezee report (Postmortem) lengo lao wanataka ionekane Dereva wa Mhe. Heche amekufa kifo cha kawaida, Madaktari wameambiwa waseme alikuwa anaumwa ndo maana jana Polisi walikuja na propaganda ya kusema kwamba walipovunja mlango na kuingia kwenye chumba cha Suez Dani Maradufu, walipokagua walikuta anadawa nyingi kwenye kibegi chake jambo ambalo sio kweli.
Polisi wanahangaika kuwalazimisha Madaktari watoe taarifa ambayo itaendana na propaganda ambayo waliitoa jana kupitia kile kipeperushi chao ili kuhalalisha kifo cha Mzee Suez Dani Maradufu so tangu jana kuna mvutano mkubwa sana unaendelea Hospital ya Maweni.
Ikumbukwe tangu jana Viongozi wa Chadema walitaka mwili uchunguzwe kabla hawajaondoka nao Kigoma.
Madaktari wa Kigoma, wakasema kwamba wao hawana uwezo wa kuchunguza, wakaomba wataalam kutoka Mwanza ili waje wachunguze sasa Madaktari kutoka Mwanza walifika usiku wa kuamkia leo lakini mpaka muda huu bado hawajafanya chochote wanapiga dana dana.
Watanzania tunataka Uchunguzi wa KWELI ufanyike haraka ili tujue nini sababu ya kifo cha mpendwa wetu, chonde chonde Madaktari msikubali kutumika kutoa report ya uwongo ili kuwalinda wauaji, kitawaramba.
TAARIFA KWA UMMA
Kwa wale ambao mnataka kufuatilia kesi ya Mhe. Lissu dhidi ya Mkuu wa Gereza la Ukonga na Kamishna Mkuu wa Magereza itakuwa LIVE kupitia link hii 👇
https://t.co/xgXlc9zyAD
Before Hon. Mruma,
Dr Rumisha ,Dr Longopa,JJJ’s
Miscellaneous Civil Cause 7300/2026
Kulwa William Maduhu and 2 others
VS
The Attorney General and 4 others
Mention
at 09:00 am
DATE: 01/7/2026