B.A(Ed) 2015 JUCO|Educational Instructor(History & English lg |10 Years Experience in private & public Schools' Administration|[email protected] ๐ฆ fn
STORY TIME ๐ฟ๐ฅ
Kulikuwa na binti mzuri ameolewa ๐
lakini alikuwa amechoka maisha yake ya ndoaโฆ
Akigombana na mume wake kila siku ๐
kiasi kwamba alitamani kumuua mume wake ๐
Siku moja akaenda kwa mama yake ๐ต๐ฝ
akamuelezea matatizo anayoyapitia katika ndoa yakeโฆ
na kwamba mume wake hataki kumpa talaka yake
๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ