@Binaa18549@Roma_Mkatoliki Pole sana kaka mimi Nina mdg yangu bado nahangaika nae milembe sio hospital ya kusaidia watu bali ni kama biashara hata mimi niliambiwa laki 7 kwa mwezi hiyo pesa natoa wapi kila mwezi?
Kuna baraka zingine haziji bila kupitia mahali pagumu ukikwepa hutaipata, Yusufu ndugu zake walimuuza alipofika kwa Farao mkewe akamtengenezea msala akanda jela na kule jela Mungu alikua pamoja na hakukwacha Yusufu mpaka alipokuwa waziri mkuu wa Misri na ndiye aliye anzisha kodi Dunia na kuitawala Dunia wakati huo.
Wito wa Mshikamano na Tundu Lissu.
Kesho saa 6 mchana.
Lissu is one of our own.
He is a true son of the soil.
He understands and stands with us.
His struggles are our struggles.
I deeply feel his pain.
I share his troubles.
#IamTunduLissu
NIANDIKIE MSTARI MMOJA TU ULIOUPENDA, KUTOKA KWENYE NGOMA YA #ABDUL
TUANDIKE KWENYE HILO BANGO HAPO TUWAFIKISHIE UJUMBE HUKO HUKO KWENYE HIZO KAMPENI ZAO!!
Nimeumia sana kwakweli toka jana, nimejiona ni kama Underground ninaye anza muziki😁
Eti imagine toka tumetoa huu wimbo hakuna Media hata moja
(Radio wala Online Media) ya 🇹🇿 iliyonivutia konga kwa ajili ya interview😁
Nimefanya na media za Kenya tu!!
Wanangu wamenikaushia kauuuu
kimya kama wanaaga maiti vile!!😁
Ni kama wanaona huu wimbo umekaa kaa kuondoka na wasio na ITHIBATI!!😁
Kweli nyama ngumu sana!!
Keep supporting good music
#ABDUL 🔈🔈🔈🔈🔈