Tiktok influencers wameanza kumwaga mchele hadharani.
UNAAMBIWA SERIKALI HARAMU ilimwaga mamilioni kwao ili watumie ushawishi wao kuzuia MAANDAMANO kupitia kampeni ya # KataaMaandamano
Pesa zinazotajwa kuwa wao walilipwa ni KUFURU-hakuna mtumishi wa UMMA kwanzia mkuu wa MKOA anaweza kulipwa Kwa mwezi ila CHAWA WALILIPWA.
Kwasasa HAWA WAKOLONI WEUSI “Chawa” ndio kipaombele chao. Wapo tayari kulipa CHAWA hata mara mia ya mishahara ya watumishi wa umma ili ajenda zao za kukandamiza wananchi ziende.
HATUNA NCHI HAPA—TUNA KUNDI LA VIBAKA.
Huyu Bwana Kombo anazidi kuthibitisha kwamba waliua watu bila sababu ya msingi… Chande alisema kulikua na training na silaha , kombo anasema mawe!!! anasema ukimlembea jiwe polisi, anatakiwa kukupiga risasi..
Je Bwana Kombo yule mama Mtanganyika pale Arusha, Video yake Inaonekana anakimbia , akapigwa risasi mgongoni, alilemba jiwe kwa nani?
Watu wameuwawa wakiwa nje ya Mageti ya nyumba zao, wengine kwenye sebule , kuna vijana Mwanza mmeaua wakiwa wanaangali Mpira…
Unasema tumeheal!!!! Hamtaweza kufukia mauaji ya kutisha mliyofanya ili mjitangaze kwenye uchaguzi ambao haukuwepo… wote mnakula pesa za damu na dunia haitakaa kimya.
Yani Chadema Mwenyekiti wao yupo ndani, chama kinapitishwa kwenye tanuru la moto lakini wanachama waliyoondoka kwenye chama wanaomba kurudi.
Haya ni maajabu.
Hawa wakuu inaonekana ni kama wametumiwa waraka wa kiserikali wenye list ndefu ya waheshimiwa waliozuiwa kuingia USA. Siyo kwa milio hii. Siyo panic ya kawaida.
Wait, let me get this straight.
So this woman ordered the killing of over 10,000 of her own citizens, then turned around and claimed the presidency.
Just days after the massacre, she stood on a podium and proudly declared that “the correct force” had been used against protesters. Then, in one of the coldest moments imaginable, she questioned grieving parents by asking: “Why did you allow your children to protest? This is why they are dead.”
When the European Union condemned the killings, she arrogantly responded: “Who are you to tell me what?”
Then the United States condemned her regime. Unlike her response to Europe, she was far more careful with America because she fears Washington. Instead of insults, she sent lobbyists to try and convince President Trump and the U.S. government to look away from the bloodshed.
As we speak, Tanzania continues paying tens of thousands of dollars every month to a Trump-aligned lobbying group in Washington, hoping Americans will ignore the massacre. But despite the lobbying, President Trump has not looked away. Members of the U.S. Congress have continued standing with the victims and condemning the killings.
When lobbying failed, she moved on to offering mineral and business deals to American companies, believing economic interests would erase the blood of innocent protesters. Some companies accepted the deals, yet still the pressure from the United States did not disappear.
And now, after failing to silence international outrage, what is her latest move?
She has turned to some of the world’s most notorious online scammers to help rewrite history , to shift blame away from her regime and somehow pin responsibility for the killings on America and President Trump. She has hired a NIGERIAN SCAMMER to do a documentary to whitewash the killings. All reputable journalists and media houses in the world refused to do her dirty work, except Nigerians, OFCOURSE!!!!
Imagine that. A government after massacring its own people now paying NIgerian scammers to attack the very countries demanding accountability.
@POTUS, @realDonaldTrump Tanzanians are begging the world not to abandon us. A country cannot heal, prosper, or remain stable while the person who ordered mass killings continues to hold power without accountability.
The people of Tanzania deserve justice. And above all, they deserve the chance to reclaim their country and live without fear.
Jana Muliro alikuwa mahakamani akizuia watu wasiingie kwenye kesi ya Lissu.
Muliro amefikia umri wa kustaafu. Ila haoni sababu ya kuishi na watu vizuri.
Aliwatishia hadi Mawakili kuwa wawe kimya ili waishi.
Amejipa mamlaka ya kuamua nani aishi nani afe.
Haina shida!
Huyu kibaka wa Ford Foundation ule upumbavu wake umerejewa na Mwigulu, Samia, vyawa wao, na sasa huyu yahooboy wa Nigeria aliyemtapeli Samia amuandalie documentary ya kujisafisha.
Madenge ni jibwa lenye njaa kali sana na hatutasahau!👇🏽
MADURO anasema waliua waandamanaji kwa kuwa walibeba silaha za moto na kuua askari. KOMBO anasema waandamanaji waliuwawa kwa risasi kwa sababu waliwatupia mawe askari. MaCCM kaeni kitako na mkubaliane kutoka na uongo unaofanana kwanini mliwaua waandamanaji kwa risasi za moto.
Wewe tulia bana. Ungeomba radhi. Hii kujifanya eti kipindi kigumu, hivi wakati una Tweet kesho yake Mwigulu akatumia Tweet yako ulikuwa hujui tuna misiba? Ipo siku mtaongea vizuri na nani? Mimi na wewe tuliongea nini baada ya Tweet yako? Ukiendelea kurukaruka nitakupasua!
Unajua kwanini milio imekuwa mingi kuhusu huo muswada pendekezwa huko USA?.
Watu washajaa kwenye mfumo maana muswada umependekezwa na democratic na Republic chama tawala na upinzani!!
Hapo ndo ile wanasema ugali moto, mboga moto, maji ya kunawa moto na maji ya kunywa moto! 😂😂
Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nywele…Sitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURU✌🏾✌🏾
#LiMwenyekiti#KatibaMpya#FREELISSU
“Nakutakia upendo mwingi, rafiki yangu—nakukumbuka sana. Bado wewe ni miongoni mwa akili bora kabisa ambazo nchi hii inazo. Ninaendelea kukuombea—Mungu akupe ujasiri, nguvu na ustahimilivu wa kushinda changamoto zote zilizo mbele yako.”
“Much love, my friend—I miss you deeply. You are still one of the finest brains this country has. I’m keeping you in my prayers—may God give you the courage, strength, and resilience to rise above every challenge before you.”
One evening I bumped into Ninja and bro Imma Mwansasu. Felt like we’d all waited for that exact moment. Ninja is a cool guy. Mtu wa watu. We demand his immediate release. Mtendeeni mshikaji wetu kama mtu. We are pained that muda unaenda na giza linaongezeka. Free Ninja!🤲