Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha anayemaliza muda wake Mhe.Cecilia Paresso amechukuwa fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Karatu Mkoani Arusha
Mhe. Paresso amekabidhiwa fomu hizo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Karatu hivi leo na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi wilaya hiyo.
@AzamPesa Nina App yenu lkn hakuna mahali naweka pesa kwenye Acc yangu zaidi ya Tsh 200/= mliyonipa,nipo Arusha napenda kuweka pesa na kutumia @AzamPesa lkn 😭😭😭