April has been our best performing month in terms of Growth so far! S/o to our users and the whole team behind @Fuga_App_Primax , we're so grateful. HAPPY LABOUR DAY π«ΆπΎπ
WAGMI!
Hatimaye! ππ±
Kwa wote mnaotumia iPhone, Fuga App sasa ipo rasmi App Store.
Jifunze ufugaji wa kuku, pata ratiba za chakula & chanjo, na simamia shamba lako la kuku kwa urahisi ukiwa na Fuga App
π Search: Fuga Poultry App
Pakua leo na anza kufuga kisasa
Wafugaji wamekuwa wakituomba sehemu moja ya kujifunza mambo muhimu ya ufugaji wa kukuna hatimaye imefika!
JIFUNZE ni kipengele kipya ndani ya Fuga App kinachokupa maarifa ya uhakika kuhusu: chakula, chanjo, makazi, afya, na mbinu za kuongeza faida.

Habari Mfugaji,Heri ya Wiki Mpya ya Mapambano
Tunafurahia kukuona ukifanikiwa, kwa sababu wewe ndiye unalisha taifa! π πΉπΏ
Kumbuka, unapohifadhi matumizi na mauzo yako kwenye Fuga App, unapata uchambuzi sahihi wa faida na hasara kwa urahisi sana zako na kujua wapi pa kuboresha

π Tulianza kutengeneza Fuga App tukiwa na lengo moja,kufanya ufugaji wa kuku kuwa rahisi,wa kisasa na wenye faida zaidi.
Tunawatambulisha Fuga App toleo la 2.0!
Toleo jipya lililotengenezwa na timu yetu bora ya Primax, ili kukusaidia kusimamia Ufugaji waki wa Kuku kwa urahisi

Tunashukuru Sana kwa kutumia Fuga App!π
Kwa kila mfugaji na rafiki ambaye amekuwa sehemu ya safari hii kwa kutumia au kuitangaza Fuga App , asante sana.
Imani yenu na maoni yenu zenu za kila siku ndizo zinatupa nguvu ya kuendelea kuboresha na kuwahudumia vizuri π«ΆπΎπ
Kitu kimoja kuhusu Ufugaji wa Kuku kwamba... ni biashara yenye faida sana. Unahitaji tu kujua jinsi ya kuifanya vizuri.
Ndiyo maana tumeunda Fuga App - kufanya ufugaji kuwa rahisi na wenye faida
Pakua Fuga App Leo Playstore (Link kwa Bio)

Kama wewe ni Mfugaji Kuku ,Fuga App inakusaidia Kufuga kwa Uhakika kwa Kuepuka hasara zinzazotokana na Kulisha zaidi au kuwapunja Kuku,kwa kukupa ratiba ya Chakula kila siku. Achana na Stress za kuibiwa chakula lini chakula Kinaisha,Uza bidhaa zako kwa Faida.
Pakua Leo Playstore

Hii ndio weekend bna... kuku nao wanajua muda wa kupumzika!
Kwa kutumia Fuga App, unaweza kudhibiti chakula, kumbukumbu na ratiba huku ukiendelea kustarehe.
Pakua Leo Fuga App Playstore,uache kuku wako wapumzike weekend hii ukiwa na Fuga App .
π₯: ThePetCollective (YT)

Unaweza kupoteza hadi 90% ya kuku wako ndani ya siku chache kama hawajachanjwa mapema.
π Kinga ni nafuu kuliko tiba.
Chanja kwa wakati.
Fuata ratiba ya chanjo.
Linda kuku wako kabla ugonjwa haujafika.
π² Ndiyo sababu tulitengeneza Fuga App kukukumbusha tarehe muhimu za chanjo
π¨ Ukweli Mgumu Kuhusu Ufugaji wa Kuku
Hii ndiyo inatokea pale ambapo ugonjwa unaingia kwenye banda kabla ya chanjo kufanyika.
π Ukiona dalili, mara nyingi huwa ni kuchelewa sana.
Chukua mfano wa Ugonjwa wa Kideri ,moja ya magonjwa hatari zaidi ya kuku hapa Tanzania.
Unaweza kurekodi matumizi yako yote na kufahamu Gharama za Kuku Mmoja ndani ya Fuga
Ingia 'Matumizi' alafu uanze kurekodi taarifa zako
Kisha ingia 'Ripoti',upate taarifa zako zote za mradi wako