April has been our best performing month in terms of Growth so far! S/o to our users and the whole team behind @Fuga_App_Primax , we're so grateful. HAPPY LABOUR DAY π«ΆπΎπ
WAGMI!
April has been our best performing month in terms of Growth so far! S/o to our users and the whole team behind @Fuga_App_Primax , we're so grateful. HAPPY LABOUR DAY π«ΆπΎπ
WAGMI!
@TOTTechs@99Zaburi Tuna build @Fuga_App_Primax kuwasaidia wafugaji wa kuku kusimamia mashamba yao na kuongeza faida,think like Kuza Business for Poultry Farmers
Hatimaye! ππ±
Kwa wote mnaotumia iPhone, Fuga App sasa ipo rasmi App Store.
Jifunze ufugaji wa kuku, pata ratiba za chakula & chanjo, na simamia shamba lako la kuku kwa urahisi ukiwa na Fuga App
π Search: Fuga Poultry App
Pakua leo na anza kufuga kisasa
Fuga App sasa ipo App storeππ,
Kama wewe ni Mfugaji wa kuku au unataka kuanza kufuga Kuku @Fuga_App_Primax inakusaidia
- Kupata Mafunzo ya ufugaji bora
-Makadirio ya gharama kabla ya kuanza ufugaji
-Ratiba ya Chakula na Chanjo kwa kuku wak
-Kurekodi taarifa zote
Fuga App sasa ipo App storeππ,
Kama wewe ni Mfugaji wa kuku au unataka kuanza kufuga Kuku @Fuga_App_Primax inakusaidia
- Kupata Mafunzo ya ufugaji bora
-Makadirio ya gharama kabla ya kuanza ufugaji
-Ratiba ya Chakula na Chanjo kwa kuku wak
-Kurekodi taarifa zote
There are number of things that define manhood but to me is mainly;
1.Ability to solve problems (financial problems, family problems and any other problems)
2.Ability to walk away from people, places and situations you donβt like./that hold you back.
Stop watching other people.
Your real competition is procrastination, self-doubt, and comfort.
Win that battle daily.
Write your goals for 2026.
https://t.co/xUyBesUhwh
Wafugaji wamekuwa wakituomba sehemu moja ya kujifunza mambo muhimu ya ufugaji wa kukuna hatimaye imefika!
JIFUNZE ni kipengele kipya ndani ya Fuga App kinachokupa maarifa ya uhakika kuhusu: chakula, chanjo, makazi, afya, na mbinu za kuongeza faida.
@ThabitSenior Currently in Tunduma ,Protest is Crazy
All i can say is that Tanzanians are braver than people think, mothers are protesting with children on their backs
Habari Mfugaji,Heri ya Wiki Mpya ya Mapambano
Tunafurahia kukuona ukifanikiwa, kwa sababu wewe ndiye unalisha taifa! π πΉπΏ
Kumbuka, unapohifadhi matumizi na mauzo yako kwenye Fuga App, unapata uchambuzi sahihi wa faida na hasara kwa urahisi sana zako na kujua wapi pa kuboresha