Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema @nchimbie sasa acha nikujibu:
Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu anakasirika - so clearly umeonyesha ujasiri kuliko wana CCM wenzako huko ndani! Sad that we have reached so low!
Pia kuongelea Haki na kukubali hakuna Amani bila Haki na kutaka wanaharakati walindwe na kugusia kesi za kubambika na kutaka watu waachiwe ni jambo jema sana
Mwisho umetumia muda kuongelea Katiba Mpya na kutaka tupambanie
Kwa maneno haya mazuri umefanya jambo jema na wapo wengi ambao wamepata matumaini maana wamechoka na chokochoko zenu CCM na kimama chenu kutwa kuwinda na kuumiza watanganyika!
Sasa baada ya haya nataka ninyooke na mambo kadhaa maana mi si mnafiki
Kwa kifupi maneno mazuri hayatoshi kwa hapa tulipofika maana hata Samia alikuwa ana kauli positive na 4R zake ila I was not impressed!
Kwa sababu mi nathamini matendo!
👉🏽 Kuna sheria zaidi ya 40 ambazo ni kandamizi na ktk sekta tofauti zinatumika kutuadhibu na kutuumiza katika harakati zenu za kutunyamisha hii ni pamoja na sheria za Cybercrime, Takwimu, Ugaidi, uhujumu uchumi, Statistics law, NGO law nk
Bila kufuta hizi sheria mtaendelea kutupa haki zetu kama hisani - FUTENI
👉🏽 MO29 hatuwezi kuweka kando na kuongelea KatibaMpya na Maridhiano bila kwanza kukabili hili DOA kubwa! Watu waliuwawa, damu ilimwagwa kwa hiyo LAZIMA waliohusika wawajibishwe na tuambiwe ukweli - nani alihusika, miili iko wapi nk. Wewe ni mnufaika wa mauaji haya - sasa kama utaonyesha ujasiri kukubali na kuhakikisha Haki na Ukweli unapatikana hakuna mtu atakuwa na mashaka na uwezo wako kama kiongozi!
👉🏽 Katiba Mpya tunautaka ila kwa mazingira ya sasa na bunge hii hapana hatuwezi kupata Katiba Bora - so turudi kule kwenye serikali ya mpito! Rais haramu anataka hataki - we don’t care! Katiba ni Yetu wananchi! Hatusubiri mtupatie! Ila tutafurahi mkikubali kushiriki tukiwa wote sawa na si ninyi kama watawala
👉🏽 Una uwezo hata leo kuhakikisha Lissu anaachiwa na vijana na lecturers waliopewa ugaidi wanafutiwa kesi hata kesho! Wote waliotekwa kabla na baada ta MO29 akina Mdude, Polepole, Soka nk tuambiwe hatma zao na waliohusika kisha wawajibishwe wote! Mi NINAJUA ukiamua unaweza - so do it!
👉🏽 kuhusu wanaharakati - hakuna hata mmoja wetu aliyeamka na kuamua kuwa mwanaharakati! Sote tulikuwa na kazi zetu ila tuliamua kutokaa kimya kwa sababu ya dhulma! So hili si suala la sisi kujuana au kutojuana - tuamue kwa pamoja kuwa tusikubali tena mtu awindwe kwa sababu ya utofauti wa kimawazo - hata akikutukana usitumie wadhifa wako kumkomoa! Kila mtu ahakikishiwe usalama na walio nje wakiamua kurudi wasibugudhiwe! Hii isiwe hisani au ishu ya kujuana!
Mwisho kabisa mi nina trust issues na CCM maana nawajua kama vile nimewazaa!
So kujenga imani tunahitaji VITENDO zaidi kuliko maneno!
Mungu akupe uwezo wa kunielewa na kufanya yote
All the best!
Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE.
Mwanamke anaweza asimuheshimu muuza genge au mangi wa dukani, Tena akamdharau kabisa na kumuona kapuku hastahili hata kuwa naye.
Kisha mwanamke huyo huyo akamthamini na kumuheshimu mwanaume anayemnunulia burger🍔
Tena akamuona ndio mtu wa maana kuliko muuza genge wa watu!😁
Na msipomuwahi anaweza hadi akauuza usichana wake kisa tu burger!!
Bila kujua kuwa Burger ni mkate tu uliowekwa nyama ya kusaga katikati!
Ambavyo vyote hivyo yule mangi wa dukani ako navyo😁
Yani yule muuza genge ana unga wa ngano, sukari na mafuta ambavyo ndio unatengeneza ule mkate.
Ana nyama ya kusaga.
Ana ile nyanya inayokaa katikati ya mkate.
Ana lile jani (Lettuce) na ana cheese.
Au huwa mnafikiri Buger ni ina kitu gani special?🤔 Hata Pizza 🍕 pia, mule mule tu!!
NDOTO MBALIMBALI NA TAFSIRI ZAKE ZA KIROHO
1. Kuota unasali – ukuaji wa maisha ya kiroho.
2. Kuota uko kanisani – mwaliko wa kumkaribia Mungu.
3. Kuota unasoma Biblia – hitaji la kulijua zaidi Neno la Mungu.
4. Kuota mwanga mkali – mwongozo wa Mungu.
5. Kuota giza – kipindi cha majaribu au mkanganyiko.
6. Kuota maji safi – utakaso na baraka.
7. Kuota maji machafu – changamoto au ushawishi mbaya.
8. Kuota unaogelea – kuvuka hali ngumu.
9. Kuota unazama – mizigo au matatizo yanayokusonga.
10. Kuota mvua – neema na rehema za Mungu.
11. Kuota upinde wa mvua – matumaini na ahadi njema.
12. Kuota mlima – ushindi na mafanikio.
13. Kuota unapanda mlima – maendeleo ya kiroho.
14. Kuota unaanguka – hitaji la kuwa makini.
15. Kuota unaruka – uhuru na ushindi.
16. Kuota unafukuzwa – shinikizo au changamoto.
17. Kuota unapigana vita – mapambano ya maisha.
18. Kuota umeshinda vita – ushindi juu ya changamoto.
19. Kuota moto – utakaso na nguvu za kiroho.
20. Kuota nyumba mpya – mwanzo mpya.
21. Kuota nyumba imeharibika – eneo la maisha linalohitaji marekebisho.
22. Kuota mlango umefunguka – fursa mpya.
23. Kuota mlango umefungwa – kuchelewa kwa jambo fulani.
24. Kuota funguo – mamlaka au suluhisho.
25. Kuota gari – mwelekeo wa maisha.
26. Kuota gari limeharibika – vikwazo vya maendeleo.
27. Kuota safari – hatua mpya maishani.
28. Kuota njia nyembamba – maisha ya nidhamu.
29. Kuota njia pana – uchaguzi unaohitaji tahadhari.
30. Kuota mtoto mchanga – baraka au mwanzo mpya.
31. Kuota mapacha – baraka mara mbili.
32. Kuota harusi – agano au ahadi.
33. Kuota pete – uaminifu na kujitoa.
34. Kuota chakula – lishe ya mwili au roho.
35. Kuota njaa – hitaji la kujazwa kiroho.
36. Kuota matunda – mavuno ya juhudi.
37. Kuota maua – furaha na matumaini.
38. Kuota mti mkubwa – ukuaji na uthabiti.
39. Kuota ndege – habari au ujumbe.
40. Kuota tai – nguvu na maono.
41. Kuota kondoo – unyenyekevu na ulinzi wa Mungu.
42. Kuota samaki – baraka na mafanikio.
43. Kuota fedha – rasilimali au fursa.
44. Kuota dhahabu – thamani na neema.
45. Kuota umepotea – hitaji la mwongozo.
46. Kuota umeokoka hatarini – ulinzi wa Mungu.
47. Kuota wagonjwa wanapona – rehema na uponyaji.
48. Kuota watu wengi – ushawishi au mahusiano.
49. Kuota kaburi – mwisho wa jambo na mwanzo wa jingine.
50. Kuota Yesu – mwaliko wa kuimarisha imani na ushirika na Mungu.
Kumbuka: Si kila ndoto huwa na tafsiri ya kiroho. Mkristo anapaswa kupima kila jambo kwa sala, busara na mafundisho ya Kanisa.
Fear women🚨
Kuna jamaa mmoja Kigamboni ana mke na watoto wawili, sa majuzi alimfunani mke wake na kijana mmoja yupo chuo jamaa alimpiga sana yuke mwanamke na akataka kumpa Talaka
Kipindi anampiga yule mwanamke kutokana na hasira alikua akisema we mwanaume hunuridhishi na hawa watoto wote sio wako
Baada ya watu kuwaamua imebidi yule jamaa awachukue watoto wote wakapime DNA
Aisee majibu yamekuja wote sio watoto wake, jamaa kapagawa wamempa watu watatu wakae nae karibu asije jichukulia maamuzi magumu
Aisee fear women wanangu ukipata bikra usichekeshe oa
🐔🐓#ELIMU_UFUGAJI_WA_KUKU🐔🐓
Kwa wale wanaopenda kuwatizama kuku tu haya hapa MABANDA 8 Bora ya kufugia kuku wako Kwa Picha Tu!.🐓🐔
SHUKA NAYO CHINI... ✍️⬇️👇🏘️🏠
Mwanamke ndie mtu ambae anapata risk nyingi kutokana na sex na madhara kwake ni makubwa kuliko kwa mwanaume.
But, wanawake wameamua kutokuwa waelewa na kuzingatia hilo kwa kuhisi wako sawa na wanaume.
Ona.
Nani anapata ujauzito kwa sababu ya sex?
Nani ana uwezekano mkubwa wa kufukuzwa shule kwa sababu ana mimba?
Nani ana uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha yake kwa sababu ya kutoa mimba?
Nani anatumia dawa hatari kama vizuizi vya uzazi na P2 ili kuepuka mimba?
Nani anadhalilishwa na kuitwa majina machafu kwa sababu ya sex?
Nani anabeba vinasaba (DNA) vya mwenzake baada ya sex?
Nani ana uwezekano mkubwa wa kuwa mgumba kwa sababu ya maisha yake ya zamani ya uzinzi na utoaji mimba?
Lakini kwa namna fulani, wanawake bado wanaamini kuwa wanaume na wanawake ni sawa linapokuja suala la sex na kwamba matokeo ya sex yanapaswa kuwa sawa kwa jinsia zote mbili.
Nature imethibitisha kuwa wanawake ndio wanaopata hasara kubwa zaidi linapokuja suala la sex kabla ya ndoa, lakini waache wanawake waendelee kubishana kwa sababu ya kupenda kwao usawa na kuachia nyeti zao kwa tamaa za pesa na maisha mazuri.
Wanawake wanajiharibu wao baadae wanajuta. Ila mjue malaya hashauriwi.
Hiyo ndiyo sababu kubwa siwezi kumhurumia mwanamke aliyeharibikiwa kutokana na uzinzi wake ambao upo monetized.
Endeleeni kujilinganisha na wanaume linapokuja suala la sex.
Tuone ni nani atakayepata maumivu ya matokeo yake mwisho wa siku.
Tabia common kwa single mom.
1. Kulaumu baba wa mtoto/watoto
2. Mood swing (muda wowote linanuna)
3. Kuwa na wasela zaidi ya mmoja
4. Hawawezi kujishusha kwa mwanaume mara kwa mara
5. Ukiishi nae jirani lazima upate sababu za kwanini ni single mom (hawajifichi kitabia)
6. Love ni kubwa kwa wazazi wake kama linapata vihela provided that na mtoto yupo huko
7. Hawana imani na mwanaume yeyote
8. Hawezi mpenda mwanaume kuliko anavyompenda mwanae
9. Hawezi kulea vizuri mtoto wa kike akawa mke lazima awe single mom
10. Wanakunyenyekea kama una kakitu au unampa ka kitu.