We must put pressure until the Tanzania killings are formally recognized as a massacre by the relevant institutions. If we skip this step, Samia walks free… if we achieve it, the path to investigations, sanctions, justice and everything opens. This must happen before 9th Dec
More pressure....the hashtag is #TanzaniaMassacre let us hit 500,000+ Tweets. Tag all the relevant bodies with the massacre videos and photos. They must recognize the massacre.
Juzi, jana hadi leo, tumesikia taarifa za jeshi la @tanpol kumaliza mafunzo ya askari wao maeneo mbalimbali nchini. Sawa, ni jambo jema. Ila cha kushangaza—kila hotuba ya kufunga mafunzo imejaa kauli moja: “Tumejipanga kukabiliana na wanaotaka KUHARIBU UCHAGUZI!”
Sasa tujiulize kwa sauti: Je, haya ni mafunzo ya polisi au ni ‘war up’ ya jeshi la siasa? Polisi wanajifua kwa ajili ya usalama wa raia wote au kwa ajili ya kulinda masanduku ya watu fulani?
Mbona hatujasikia hata mara moja mafunzo ya ‘kulinda kura halali za wananchi’ au ‘kupambana na wanaochakachua matokeo’? Au mbona hatujaona mikakati yenu yakuwatafuta waliopotea? Mbona mpaka sasa Mdude hajulikani alipo?
Tuwe wakweli tu: Kati ya wananchi, vyama vya siasa, na polisi—nani aliharibu uchaguzi wa 2020? Nani alijaza masanduku ya kura hata kabla ya saa tatu asubuhi? Nani alitumia mtutu kulinda uchaguzi wa serikali za mitaa 2019hadi wananchi wanne wakapoteza maisha yao? 2024 same story. Au tunahitaji kuwaletea ‘screenshots’ za historia?
Mungu awalaze mahali pema wale wote waliouawa kwa kosa la kutaka kushiriki uchaguzi wa kidemokrasia. Amina.
Ndugu zetu wa @tanpol, tusijidanganye. Mnatumika kuumiza maskini wenzenu wale wanaowapa heshima barabarani, wanaowakimbilia wakiporwa, na ambao mnawakuta hospitalini mkiwa na sare zenu za sifa. Mnawatisha akina mama waliokuleeni na sasa mnawaburuza kwa sababu ya kura. Hii si haki. Msisahau: mtutu si sera.
Sisi hatutanyamaza. Hatuna Tanzania 🇹🇿 nyingine ya kuhamia. Hii ni yetu sote. Tutasema, tutaandika, tutapaza sauti: #NoReformsNoElection ndio agenda ya nchi.
Na kwa wote tunaoguswa na haya tunayoyasema, usaidie tone lako kufanikisha mabadiliko. Changia chama kwa namba 0744 446 969, jina CHADEMA HQ. Tone lako ni mabadiliko ya kesho. 🇹🇿✊🏾
#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
1/ Since Aug. 18, Tanzania’s security services have held opposition youth activist Deusdedith Soka without charge at an unknown location. Soka expressed fears about his safety and called for protests prior to his abduction.
https://t.co/CAVaGOjJLQ
Hii Speech inatakiwa kuchezwa kwenye mabunge yote ya Afrika kabla ya kikao chochote kuanza
'' Are we Fools '' iandikwe mbele ya kila mbunge anapokaa , kila seat mbele yake kuwe na swali ' Je Wabunge ni Wajinga ?
Haya mambo amezungumza ndio wabunge wetu na wanasiasa wanafanya
-- Kununua nyumba Dubai na Cape town
-- Kununua magari ya kifahari
-- Kuiba fedha za elimu , afya , maji na barabara
-- Kuwekeza nje ya nchi na kwenye majumba ya kifahari, hakuna kampuni ya maana wanafungua kutoa ajira
-- Kuiba fedha ambazo zingetoa ajira kwa vijana na kuwe sera butu zisizo na uwajibikaji
-- Kwa Tanzania wizara ya Ujenzi na TANROAD , imeweka mazingira ambayo Wachina (Makapuni ya kichina) yanaibia wakandarasi wazawa kupitia Sub Contract ambazo wakimaliza kazi awalipwi , wanabaki na madeni kwa muda mrefu, wachina wanapiga penalty serikali billions of money, lakini kwenye kazi hawajawekeza chochote wamekopa wakandarasi wazao ambao wengi wamefirisika, waziri anajua na TANROAD inajua, ila mfumo wa kuweka umasikini, na tuna Bunge , haya ndio maana huyu mdau anazungumza, are we fools? Serikali inaruhusu unyonyaji kwa makusudi sababu tu kuna rushwa ndogo ndogo kutoka kwa wachina ? Hawa wachina wameua ajira zote kwenye masuala ya ujenzi, wamemkeuza kila mtu kibarua, wamejaza watu kutoka kwao, lakini engineer wa kitanzania anakuwa kibarua, Mbona enzi hizo KONOIKE iliajiri watu leo hakuna PAYE kutoka kwenye trillioni 11 haya makampuni 10 ya kichina yamechukua nchini, hakuna Watanzania wametajirika kutokana na haya makampuni ya ujenzi wakati tunatumia fedha nyingi sana kwenye ujenzi, are we fools ?
@YerickoNyerereT Iran has been funding its proxies to fight Israel from all angles for years. Ni hatari sana kama wewe mchmabuzi unashindwa kujua jambo rahisi kama hili. Hata huyo kiongozi wa juu alieshambuliwa alikuwa tergeted because kazi yake kubwa ilikuwa ni kuorganize proxies.
I was once with a group of successful black men, all millionaires over the age of 45, one of them the CEO of a $20 billion dollar company.
A really famous rapper came up and started talking to the group. He was loud, ignorant, cussing like a fool and seeking attention. I think he thought we'd be excited that he wanted to talk to us.
We were not. It was like talking to a spoiled child.
One of the businessmen went to the person hosting the event and asked that the rapper be removed. They then escorted him out the door and told him not to come back.
Nobody cared how famous he was. Nobody cared about how many albums he sold. Nobody cared that he was on TV.
We just knew he was a loser.
The point is that while everyone thinks the loud entertainers have most of the wealth, power and respect, they don't. The real power brokers are the men and women who run corporations, make plans for their communities, raise their families and mentor the youth.
They know the difference between REAL POWER and a loud yapping, fast talking clown. Make sure you always know the difference.