@EdwinMjeru Huyu Hana liquid cash, ni assets n stock, hata katika top 5 ya mabilionaire wenye cash hayupo, sasa ataweza fund vipi budget na Hana cash, may be auze stock
@JosephC85099765@Roma_Mkatoliki Au zitumike kuajiri wataalamu sekta ya Afya, mana vituo vya Afya vimejengwa vingi around the country na madaktari sio wengi