Graduate for Innovation and Entrepreneurship Development - GIED ni shirika lisilo la kiserikali lenye namba za usajili ooNGO/R/0785. lenye lengo kuu la
utengenezaji wa fursa za ajira na kujiajiri kwa vijana kupitia ubunifu wa miradi
mbalimbali.
Viongozi wa GIED Taifa na Mlezi shirika Dr. Ritta Kabati (Mb Viti Maalum Iringa), walipokutana na Wakurugenzi pamoja na wawakilishi wengine kutoka Ofisi ya waziri mkuu, Dodoma kuomba ufadhili wa miradi mbalimbali inayofanywa shirika hususani Katika Mkoa wa Iringa.
#GIEDinnovation
Baadhi ya viongozi wa shirika la @GIEDTz waliofika bungeni na kupata nafasi ya kuzungumza na waziri wa kilimo. Shukrani za kipekee zimuendee mlezi wa shirika dkt Ritta Kabati (MB) aliyefanikisha zoezi hili
#GIEDTZ#JoinTheMovement
Viongozi wa GIED waliokutana Katika ziara siku ya ijumaa tarehe 23/4/2021 jijini Dodoma ambapo walikutana na Mlezi wa Taifa Hon. Dr. Ritta Kabati (Mbunge wa Viti Maalum Iringa).
Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana sio tu la kitaifa bali la kidunia. Je wew kama kijana wa kitanzania unakabiliana nalo vipi. Karibu @GIEDTz uweze kukutana na vijana wengine walioamua kuwa wamoja na kubuni miradi mbalimbali ya kilimo kama sehemu ya kujipatia kipato. #GIEDTZ
@Mangiwakwanza@KimeiCharles Tumeanzisha na kusajili shirika kwa ajili ya graduates na vijana mbalimbali nchini ambapo graduates na vijana wote Katika mikoa yao wataungana na kushirikiana kuzitambua fursa Katika mikoa yao ili kuanzisha miradi ya kiuchumi pamoja. Graduates ni zaidi ya 100 kila mkoa
GIED TANZANIA
Tunahidi kufanya utekelezaji wa Miradi yote kwa bidii na Maarifa ikiwa tuna wataalam wa nyanja zote kutoka vyuo vikuu mbalimbali Tanzania.
Tunawakaribisha Graduates wote Tanzania kuungana nasi
Ni Jambo la furaha kupata nafasi ya kufanya mazungumzo na Mh. Dr. Ritta Kabati (Mbunge wa viti Maalum Iringa) ambae pia ni mlezi wa GIED TANZANIA @GIEDTz.
Mh. @RittaKabati ametupatia eneo na udhamini kwa ajili ya kuanza Mradi wa kilimo (Multiagricultural project)