@IamLASWAI@Sirjeff_D Nataka nijue cryptocurrencies. Namna ya kubuy kuhold nk na platform za kufanyia hayo maana kuna jamaa alinambia tu download binance nikadownload nkamwambia haya nielekeze akanambia ngoja nimstue fulan akuelekeze akala kona nimekaa na app hata sijui inatumikaje.
@Mrozzo_ @Twaib14@nyuki_malkia Zile chemba kama huna urafiki na dom leader zionage kama jehanamu tu ukijiroga ukatia mguu unaeza bakwaπππππ
@Mrozzo_ @Twaib14@nyuki_malkia ππππππππ aggrey choo cha nje tulikuwa tunachajia simu mwanangu alikuwa dom leader tukakigeuza ofisiππππ