Serikali haramu inaiambia Uingereza:
โHeshimuni uhuru wa Mahakama zetu.โ
Uhuru wa Mahakama?? ๐
Mtu anashtakiwa kwa UGAIDI kwa kipeperushi cha Katiba Mpya.
Sisi tulio ndani ya hii nchi ndo tunaoujua huo โuhuruโ.
Wageni mnaonyeshwa makaratasi tu.
#Hatutasahau
Lissu ameonekana SI MHAINI.
Lakini Segerea, kwa mujibu wa wakili @ShundoGaston, bado kuna viongozi na wanachama wa CHADEMA wanaoshtakiwa kwa uhaini na UGAIDI.
Mmoja kosa lake? Kuwa na Kipeperushi cha KATIBA MPYA.
Karatasi ni sawa na ugaidi??
Embu waachieni.
#Hatutasahau
@PMadeleka hana baya huyu wakili, unisamehe pia kaka.
Kama nilivyoombaga msamaha kwa @MsigwaPeter naamini pia kaka Madeleka atakuwa hana nongwa.
Kwa elimu wanayotoa? Waendelee kuwasha moto!!!
Mfungwa namba 623/2026
Tarehe ya kufungwa 06/11/2026
Tarehe ya Kutoka bila kupunguziwa robo ya kifungo ambayo inapunguzwa kwa mfungwa ambaye hajatenda kosa akiwa gerezani ni Tarehe 05/11/2030
Tarehe ya Kutoka ukitoa robo ni Tarehe 05/07/2029;
Mapambano yaendelee!!
Mfungwa namba 623/2026
Tarehe ya kufungwa 06/11/2026
Tarehe ya Kutoka bila kupunguziwa robo ya kifungo ambayo inapunguzwa kwa mfungwa ambaye hajatenda kosa akiwa gerezani ni Tarehe 05/11/2030
Tarehe ya Kutoka ukitoa robo ni Tarehe 05/07/2029;
Mapambano yaendelee!!
Lissu kutoka gerezani anasema: โMimi nitatoka, na nikitoka ni kazi. Msiogope.โ
Yeye yuko gerezani, hajalegea. Sisi huku nje tuna kisingizio gani??
Amnesty wamesema ni dhuluma. Hata Gambo wa CCM amekiri familia hii ina misimamo.
TUSIJILEGEZE!!!
#Hatutasahau#FreeLissu
..... Wasifu wa Mzee Alute, uliosomwa kwa saa nzima, ulikuwa ushuhuda wa legacy ya kipekee, uzalendo usiotetereka na utu wa hali ya juu.
Akiwa gerezani, Mh. Tundu Antipas Lissu ameandika kwa ujasiri na uzito wa kihistoria, akithibitisha kuwa mawazo, dhamira na upendo wa kweli haviwezi kufungwa na kuta za gereza.
Heshima kubwa kwa ujasiri huo. Ni farewell iliyobeba heshima, upendo na historia.
Rest in power, Tata. Until Valhalla.
Tunamuaga Mzee Alute Mughwai Lissu.
Wakili. Mtetezi wa haki. Ndugu wa Tundu.
Na Tundu mwenyewe yuko gerezani kwa sababu ya MANENO.
Hii ndiyo Tanzania ya "maridhiano"??
Pumzika kwa amani Mzee Alute ๐๐พ
#Hatutasahau
Kihongosi anasema CCM โimeumizwaโ na hukumu ya Lissu.
Mmeumizwa??
Polisi ni wenu. Waendesha mashtaka ni wenu. Halafu mnalia msibani kama wafiwa ๐
Mna matani sana CCM.
Make it make sense.
#Hatutasahau
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri anasema Mahakama "imetenda haki" kumfunga Lissu miaka 4 kwa uchochezi.
Mhariri. Anayetetea mtu kufungwa kwa MANENO.
Kesho mwandishi akifungwa kwa kuandika ukweli, atasema nini??
Where are your journalistic priorities, Balile?
@tulialfreda I am an AVID Michael Jackson lover, lakini Fabio ni simpendi hamna mfano...he is TRASH!
Mara mia loozecannon atleast amekuja na style mpyaaa, ila huyu Fabio, ni man'gamu ng'amu tu