@VeenaJay_ @toksik08 Ilaa inauma Sana kuachwa kusikie tu, nilichogundua ule umilele kwamba mtadumu ukishajenga iyo siku akikuacha unahisi atotokea mbadala yumkin tungekuwa tunafanya ya kupita tu uwekezi Sana nadhani tusingekuwa tunateswa nayo mapenzi ni 🚮🚮 kikubwa kusamehe na kusonga mbele