Ask of me, and I will give the nations(Africa, LatAm, Asia and beyond) for your inheritance, And the uttermost parts of the earth for your possession- Psalms 2:8
@mazaohub
Mwanzilishi wa Kampuni ya Teknolojia ya NALA MONEY Benjamin Fernandes, ameibua hoja mbele ya Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba kuhusu changamoto zinazowakabili Watanzania ikiwemo kuingia Nchini Marekani hata kama ni kwa sababu za kibiashara au za kimasomo.
Akizungumza mbele ya Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba katika mkutano na Watanzania London Uingereza, Fernandes amesema licha ya kuwa Mtanzania anayejivunia Nchi yake, amekuwa akikumbana na changamoto zinazohusiana na hati ya kusafiria ( passport) katika safari zake za kibiashara za Kimataifa, hali ambayo amesema inaweza kuwa kikwazo kwa Watanzania wanaotafuta fursa nje ya Nchi.
Fernandes ameeleza kuwa kupitia biashara yake amefanikiwa kupata uwekezaji wa zaidi ya dola milioni 50 kutoka Marekani lakini kwa sasa anapata wakati mgumu kwenye biashara yake kwakuwa kuna zuio la Watu wenye passport za Tanzania kuingia Marekani kwa visa za B1 au B2.
#MillardAyoUPDATES
ILI ULIME VIZURI, LAZIMA UJUE UNATUMIA UDONGO WA AINA GANI.
Kabla hujaweka mbegu, mbolea au kuwekeza mamilioni kwenye shamba, anza kwa kuujua udongo wako.
Udongo unatofautiana kwenye rutuba, pH, unyevu na uwezo wa kushikilia virutubisho.
Mkulima anapopata taarifa kwa wakati, anapata nafasi ya kufanya vizuri zaidi.
Jiunge nasi katika Mtandao wa Mabalozi wa Wakulima wa Mazao Hub.
Twende kwa wakulima, tuwasikilize, tujifunze mahitaji yao na kuyafikisha pale yanapohitajika.
What if a sugar processor could see its next harvest before a single truck reached the factory?
Which estate blocks have been planted. Which are awaiting soil tests. Which are showing signs of stress. When each block is expected to be harvested—and how many tonnes it could deliver.
Then, beside every block, the processor could see the outgrower groups growing the same crop for the same harvest window: how many farmers, how many hectares, what volume is expected, and where support is needed now.
For years, I feared that plantations would grow while smallholder farmers were left behind. Managing thousands of individual small farms seemed too costly and complex.
I no longer believe exclusion is inevitable.
@MazaoHub’s Commercial & Outgrowers system is ready, and a few plantations have begun testing and using it. Thank you to those early users for bringing this vision into real fields.
The system connects mapped blocks and farmer plots with crop plans, soil and weather data, satellite observations, input advances and geotagged field activities. AI can compare what was planned with what is happening—and flag where an agronomist needs to act.
At harvest, that record continues through collection, weighing, grading and quality checks. If a farmer received inputs but the delivered volume differs sharply from the forecast, the system can flag the gap for investigation, including a possible side-selling risk. A signal starts a field investigation; it does not replace one.
Now imagine coordinating an estate alongside 100,000 outgrowers(smallholder farmers) with this level of visibility and human support under franchise farm clinics. Remember, we are Tech and Touch.
I cannot stop thinking about what that could mean for the smallholder farmers I once feared would be excluded.
Mazao AI is about to get very loud in agriculture. You will hear it from the field not from conferences not from board presentations but from the fields....
#MazaoHub #Outgrowers #AIinAgriculture #SmallholderFarmers #CommercialFarming #AgTech #AgriculturalFinance #FoodSystems
Ask of me, and I will give the nations(Africa) for your inheritance, And the uttermost parts of the earth for your possession-
Psalms 2:8
@mazaohub@CropSupply
Unahitaji mazao kwa ajili ya biashara yako na hujui sehemu unayoweza kuyapata?
Kesho kwenye webinar yetu utajifunza jinsi ya kutafuta mazao, kuona bidhaa zinazopatikana na kuweka oda moja kwa moja kupitia https://t.co/BqX9u0yMWN ili kurahisisha shughuli zako za usambazaji.
🌍 Unawaza namna ya kufikia masoko mengi kwa urahisi?
Kesho kwenye live webinar tutajifunza namna ya kutangaza bidhaa za mazao yako kwenye mfumo wa https://t.co/BqX9u0zkMl, ili zionekane kwa wanunuzi na kufungua fursa mpya za masoko ndani na nje ya nchi.
🌱 Nyuma ya kila mkulima tunayemfikia, kuna timu inayofanya kazi kwa bidii.
Leo, timu za Sales Center na Marketing zimepata hamasa ya kuendelea kujituma ili kuhakikisha wakulima wengi zaidi wanapata taarifa, ushauri na suluhisho sahihi za kilimo.
Tunataka kila mkulima ajue afya ya udongo wake, atumie pembejeo sahihi na afanye maamuzi sahihi yatakayomsaidia kuongeza tija huku akipunguza gharama zisizo za lazima kwenye kilimo.
Kila mkulima anastahili kuwa na sababu ya kushukuru!
A key takeaway from #AFSForum2026: Africa’s agriculture needs stronger collaboration. We must overcome fragmentation, break silos, and align efforts to build a resilient and inclusive agri-food system. @mazaohub#YouthInAgriculture
Afya ya Udongo, Msingi wa Mafanikio ya Mkulima!
Udongo wenye afya huweka msingi wa uzalishaji bora.
Ndiyo maana kupima na kuelewa hali ya udongo ni hatua muhimu kabla ya kufanya maamuzi kuhusu virutubisho na mbolea.
📍Nane Nane Tupo Dodoma!
Mazao Hub — Tupo na Mkulima.....
Tunatoa shukrani za dhati kwa wadau wote waliotembelea Banda la Mazao Hub katika Maonesho ya Nane Nane 88.
Tunathamini muda wenu, maoni yenu na ushirikiano wenu.
Uwepo wenu unatupa nguvu zaidi ya kuendelea kujenga fursa bora kwa wakulima na wafanyabiashara wa mazao.
We are honored to share that MazoaHub has been featured among the top 10 of Africa’s most disruptive startups at the Africa CEO Forum Annual Summit 2026.
Even more proudly, our CEO, Geophrey Tenganamba, has been recognized as one of the visionary leaders driving innovation and transformation across the continent.
Founded in 2012, the Africa CEO Forum has grown into one of the continent’s leading platforms connecting African business leaders, innovators, investors, and institutions to shape Africa’s economic future.
Mr. Geophrey is currently in Kigali, ready to engage with partners, stakeholders, investors, and fellow innovators who are building solutions that will define the future of Africa.
As MazoaHub continues working at the intersection of agriculture, production, and markets, this recognition reflects our commitment to creating impactful solutions for farmers and agribusinesses across the region.
We look forward to meaningful conversations, new partnerships, and collaborative opportunities during the summit. The future of Africa is being built now — and we are proud to be part of the journey.
#AfricaCEOForum #MazoaHub #AfricanInnovation #Agritech #Kigali #FutureOfAfrica #StartupAfrica
Soko la mazao yako linaweza kuwa kubwa zaidi kuliko unavyofikiria. 🌱
Jiunge nasi kesho kwenye Live Webinar ya MazaoHub:
📅 13/05/2026
⏰ Saa 11 jioni (5:00 – 6:00 pm EAT)
Mada: Jinsi Teknolojia Inavyosaidia Wakulima Kupata Masoko Yenye Faida
🔗 Jiunge kupitia link hii:
https://t.co/ufCafaA23X
#MazaoHub #LiveWebinar #KilimoNiBiashara #AgriTechTanzania
Hongera kwa kuchagua kutumia mfumo wa MazaoHub kuendesha kilimo chako. 🌱
Pima afya ya udongo wako, pata ushauri wa kitaalamu na agiza pembejeo sahihi kupitia Pembejeo Connect, ili kupunguza hasara, unaokoa gharama zisizo za lazima, na kuongeza nafasi ya kupata mavuno bora.
Baada ya mavuno, MazaoHub tunaendelea kuhakikisha mazao yako yanapata soko la uhakika kupitia CropSupply ili jasho lako likuletee faida halisi.
Kama bado hujajiunga na mfumo wa MazaoHub, huu ndio muda wa kuanza kulima kwa kutumia teknolojia.
Pakua app hapa:
https://t.co/k3DH8GCD1u
📞 0699 365 987
#MazaoHub #PembejeoConnect #CropSupply #KilimoNiBiashara #AgriTechTanzania
We are pleased to share that our CEO and Co-Founder, Mr. @GKeyness, will be attending the upcoming high-level Africa–France economic and business gathering in Nairobi.
This important event brings together African, French, and European leaders, investors, policymakers, entrepreneurs, and institutions who believe in Africa’s productive power, industrial transformation, and technological innovation.
At MazaoHub, we strongly believe that Africa is not only a consumer market. Africa produces. Africa transforms. Africa innovates. And with the right partnerships, Africa can build scalable solutions that serve farmers, industries, markets, and communities across the continent.
As MazaoHub continues to build data-driven agricultural infrastructure, Farm Clinics, crop sourcing systems, digital agronomy solutions, and commercialization pathways for smallholder farmers, we are looking forward to engaging with partners who share our vision for a stronger, more industrialized, and innovation-led Africa.
We are especially excited about the opportunity to forge meaningful business partnerships in agro-industry, technology, AI, logistics, sustainable value chains, investment, and market access.
This gathering in Nairobi is more than a meeting. It is a platform where bold ideas meet strategy, where investors meet innovators, and where Africa’s next generation of industrial and agricultural transformation can be shaped.
We look forward to connecting with business leaders, investors, development partners, technology companies, industrial players, and institutions ready to collaborate with MazaoHub in building the future of African agriculture.
#MazaoHub #GeophreyTenganamba #AfricaFranceBusiness #Nairobi #AgroIndustry #Agritech #AfricanInnovation #StrategicPartnerships #Investment #IndustrialTransformation #AfricanAgriculture #TechForAgriculture #CropSupply #FarmClinics
Tulimtembelea mkulima wetu shambani ili kufanya tathmini ya kina ya hali ya udongo na mazao yake. 🌱
Tulichukua sampuli za udongo, tukabaini mahitaji halisi ya shamba, na kumpa ushauri wa kitaalamu unaolenga kuongeza mavuno na kupunguza gharama za uzalishaji.
“Kwa muda mfupi MazaoHub walifika shambani kwangu na kunipa mwongozo sahihi. Sasa nina uhakika wa maamuzi ninayofanya.”
Ushuhuda wa Mkulima
Unataka huduma kama hii? Wasiliana nasi leo kupitia namba:
📞 0699 365 987
Au pakua app ya MazaoHub hapa:
https://t.co/k3DH8GCD1u
#MazaoHub #KilimoNiBiashara #AgriTechTanzania