@mwananchi_ts@millardayo Mimi nipo bush kabisa kaliua ndani ndani huea nauza vocha za kurusha tu
Mwanzoni walikuwa kama hawaelewi ila baada ya miezi kazaa hakuna mtu anataka vocha ya kukwangua na hiwa nipo faster dk moja kubwa ashapata vocha.
So its possible
@BMushison Hapo sio kwamba simu yake ni mbovu ila kuna baadhi ya cm ndo huwa zinataka bettery yenye specification sawa kama iliyokuja na cm ata kama ni kampun nyingine
@IAmHaule Ni mpka ujiongeze vzr usipokaa makini kukosa exposure na kuonekan wewe ndo mwenye afadhari ya maisha inaweza kukufanya ujionee umetoboa ukaanza na kunenepa wakati mwaka mzima hushiki ata mil5
@Sammyburudan@privaldinho Hata ikitokea unanafasi moja
Pacome,libase,okello kwenye game yenye intesinty kubwa ataanza pacome au libase ndo atafta allan
@Sammyburudan@privaldinho Nbc wachezaji wote level ni za kawaida tu sasa yanga mnamuona okello kama EPL material wakati tyr ana 26 years hakuna sehem ataenda labda kwa waarabu ile nenda rudi
Leo nimeenda pub moja ivi hapa naona kuna washikaji watatu wanamnunulia mwenzao pombe naona kalewa wamemuagizia chips na mishikaki na anakula tuπ€£π€£π€£π€£π€£π€£