Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania ili mtu aweze kuruhusiwa kugombea Ubunge Tanzania anatakiwa kujua kusoma na kuandika kiswahil.
Lakini ili mtu aweze kufanyakazi ya kufanya usafi Bungeni au kuwa dereva wa Serikali anatakiwa angalau awe na Cheti cha kidato cha nne na kuendelea.
a pato la serikali litaongezeka. Serikali pia inaweza kutumia pato hilo kulipa mishahara n.k. Kukiwa na mwekezaji mmoja analipa sh. 5million kwa mwezi no tofauti na kuwa na wawekezaji 30 wakalipa 1million kwa mwezi. Ajira zitakuwa nyingi na pato limeongezeka pia
U AKIUZA BIDHAA 1000 ANAPATA FAIDA YA SH 500,000. Maana yangu ni kuwa serikali iangalie upya sekta ya uwekezaji. Wawekezaji wapunguziwe kodi, kama kuna restrictions zozote ziondolewe ili wawekezaji wawe wengi. Wakiwa wengi watatoa ajira nyingi kwa sisi vijana ambao hatuna Anita n