TUNAUZA VIFAA VYA UMEME WA MAJUMBANI NA MAOFISINI /we deal in selling Home Appliances.
Tunafanya Delivery kwa wateja wa Dar na mikoani tunatuma pia
0765015226
Kama RISASI ya kichwa haikuniuwa.
Kama hawa MAMBA NA VIBOKO wa hapa hawakunila.
Siku yako kama haijafika hata mwanadamu afanye nini hakuna kitu kitaenda anavyotaka.
TSARADIA Sabufa 🔥
Bei.. 270,000/=
5 spiker
Fm Radio ,Bluetooth,Aux, flash
Free delivery Dar es salaam
1 year warranty
☎️Tupige/ WhatsApp; 0626595226
📍Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Tandamti na Muheza
📌 Mikoani natuma kwa Gharama nafuu.
Hivi unataka kuniambia wahaya ni matajiri sana au huwa hawatembei kuja ku hustle mikoa mingine? Mbona kwenye hizi mishe za kijobless sijawahi kuona mhaya?, kwenye uchukuzi(kuli),zege,machinga,kufyatua tofali,konda wa daladala,wapiga debe..hii ikoje wakuu