Welcome to day 2 of the #MkutanoWaWakulima. The Guest of Honor, Tanzania's Deputy Minister for Agriculture, Hon. @HusseinBashe has arrived and ready to listen to the voices of over 100 small scale food producers who are in attendance here in Dodoma.
Akina mama wapambanaji Salome na Maria wana ari ya kuchangia uchumi wa viwanda. “Mhe @SuluhuSamia tutashukuru sana iwapo tutawezeshwa kupata mafunzo tuweze kutengeneza bidhaa bora zaidi, tuweze kujikwamua kiuchumi, kimaisha na kimaendeleo.” #NaneNane2019
“Upendo wa Malezi usiishie kwa mzazi na mtoto. Wazazi waoneshe upendo kwa Walezi na ndugu wanaoishi na watoto Nyumbani. Upendo husababisha ndugu aishie na mtoto nyumbani kumlinda na kumuona kama mwanaye. Kama ni kutoka basi tutoke na kaka/dada wa kazi
#TumpendeTumlindeTumthamini
Picha hii ni ya Zao la Pamba ambayo tayali imevunwa changamoto msimu wa magulilu yake hayajafuguliwa wakulima hawana maghara ya kutunzia pamba hii tunaiomba serikali kuyafuatilia makampuni yanayonunua zao la pamba kwani nimekua kero kubwa @kasmumajaliwa @oxfam#chukuaHatua
Ziara ya mheshimiwa diwani wa kata ya ushirika Daudi mabenga kwa ajili ya kukutana na serikali ya kijiji cha buzigula na baadaye kukutana na wananchi katika mkutano wa hadhara na agenda ilikuwa Elimu, afya, maji na umeme @billmarwa@KefarMbogela#ChukuaHatua
“Mitandao ya kijamii ni platform nzuri ambazo tunaweza kuzitumia kuelimisha watu na kuwajengea mentality ya kutunza mazingira. Utunzaji mazingira ukiwa kipaumbele chetu tutakuwa na kizazi chenye nguvu”
#ClimateSymposium
"Hakuna mapenzi kati ya mtu mzima na mwanafunzi huu ni Ubakaji"..amesema Mkuu wa Wilaya ya Handeni Ndugu Gondwe katika maadhimisho ya Juma la Elimu yanayoendelea katika Wilaya yake. Handeni inatekeleza kampeni ya kusaidia mabinti kutimiza ndoto zao #ElimuBoraHakiYangu#Gawe2019
Matofali yanaendelea kufyatuliwa kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Afya kata ya Ushirika wilaya ya mbogwe mkoa wa Geita @KefarMbogela@billmarwa#ChukuaHatua
Kampeni hii imeandaliwa na @ActionAidT@OxfamTz@TawlaTZ @TgnpMtandao @WiLDAFTz#na WLAC. Malengo ya Kampeni ni Kuimarisha hali ya ajira kwa wanawake walioko kwenye ajira zisizo rasmi na kuboresha upatikanaji wa huduma bora za kijamii (maji,elimu na afya) kwa wanawake nchini.
Uzinduzi wa Kampeni ya AJIRA, KAZI ZA STAHA NA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA KIJAMII KWA WANAWAKE,ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, uzinduzi huu unafanyika katika Viwanja vya TGNP Mtandao, Mabibo DSM.
Kaili Mbiu ni #AjiraSawa#UjiraSawa#TukoSawa
Maagizo ya Rais Magufuli kuhusu usajili wa laini za simu kwa njia ya alama za vidole: “Wasio na vitambulisho vya taifa wapewe muda…”
#AzamTVApp#UTV#AzamTVUpdates#MagufuliMbeya