Hao waliochukua jitihada wanasemaje, mmeongea nao? Secreatarieti ina uwiano mzuri, wanachama walielekezwa kuja 2 from org (me,ke), taasisi wanachama zimejitahidi na tunajua kua bado safari ni ndefu, na tunalitizama zaidi ya "namba".leteni mapendekezo zaidi.
Mkuu wa mkoa Geita ktk ziara ya kuweka Jiwe la msingi ktk kijiji cha Shenda.Hatua ya kwanza kuingia watu wote kunawa mikono kwa kwa maji Tiririka ili kujikinga na Corona.Fundisho kwa watu wote kuchukua Hatua @wizara_afyatz @umwalimu
Mkuu wa wilaya ya mbogwe mkoa wa Geita akiwa kwenye mgodi wa wachimbaji wadogo wadogo nyakafulu akitoa Elimu juu ya kujikinga na ugonjwa wa corona @billmarwa@KefarMbogela#ChukuaHatua
Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kamila Labani (anayezungumza) akiambatana na askari wa Jeshi hilo, wamefanikiwa kuifikisha bendera ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro katika kusheherekea Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri.
Ujenzi wa vivuko viwili vilivyogharimu shilingi za Kitanzania Bilioni 7.3 vitakavyotoa huduma kati ya Bugorola-Ukara na Chato Mharamba-Nkome Umefikia hatua nzuri.
Vitakamilika #Feb2020 .
#tumeamua๐น๐ฟ #2020 #Tunatekeleza2019#kwaheritunatekeleza2019
Shirika la LANGO limesaidia kutoa Mbuzi kwa vikundi saba vya wanawake na vijana vilivyopo katika kata ya Mbanja na Mchinga ambavyo vipo kwenye mradi wa "Kuimarisha Usawa wa Kijinsia na Kuwezesha Wanawake na Vijana Kiuchumi" @AdellaAm@JacqueMlay
Wanafunzi wa masumbwe shule ya msingi wakishirikiana na waraghbishi na uongozi wa wilaya ya mbogwe mkoa wa Geita kwa ajili ya upandaji wa miti @billmarwa@chawenegbs#ChukuaHatua@KefarMbogela@MagufuliJP@OxfamTz lengo kwenda na kasi ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania