Maneno mazuri sana katika kipindi cha malumbano ya hoja. @ITV#itvnews. Kuna umuhimu wa serikali kupunguza Bill za umeme na maji. Watu wana nawa sana, pia wanashinda kwenye kwenye TV masaa mengi kwa ajili, ya kupata taarifa. @majaliwa_kassim@ChukuaHatua
Jamani ninashindwa kuelewa janga hiliambalo linasumbua hata watoto kushindwa kuendelea na masomo kwa Nini vilabu vya pombe baa zinaendelea kulikoni?@ChukuaHatua@TZMsemajiMkuu @umwalimu
Jambo kubwa Bunge oneni umhimu wakujali wanawake walioko kijijini kupata elimu ya kutambua haki zao nasheria ya kuwalida ikaziwe. Nawadau wamashilika ka a Oxfam twawenza tamasha saidieni.hili@Bungetz@oxfamu@chukuahatua@msemajimukuu
Tunapo kuwa kimya bila kusema neno juu ya sheria.itakayo.mlinda mtoto wakike anapolazimizhwa kuolewa bila kulidhia mweyewe.hata akibakwa,..ukweli hauonekani@Msemajimkuu@chukuahatua,@umwalimu @magufulijp
Ni siku ya uzinduzi upandaji miti waraghabishi mbogwe geita tukikabiliana na mabadiliko ya tabia nchi #ChukuaHatua@billmarwa@OxfamTz kwa pamoja tunaweza
@MabalaMakengeza Halimashauli Mbogwe
.kikao Cha.madiwani tarehe 12/11/2019 kuamua ajenda Kila kikao Cha https://t.co/nP6iXd99Xn..ajenda.yaudhibiti.mimba.zamutotoni@mabaramakengeza@chukuahatua