Leo nimezungumza na mtangazaji wa Kituo cha Televisheni China - CCTV, Shi Yue kuhusu utayari wa Tanzania katika kupokea watalii kutoka katika mataifa mbalimbali. Mahojiano hayo yamefanyika jijini Dar es Salaam. #TanzaniaIsReady#TanzaniaUnforgettable#HK
The @eu_echo supports relief activities for vulnerable people in crisis zones around the world. Through its humanitarian aid, @eu_echo has continued to support various lifesaving activities implemented by @OxfamTz in Kibondo, Tanzania. --> https://t.co/0zuKgP4v0S
Kazi ya uraghabishi ni kubwa sana inaunganisha mwananchi na kiongozi hivyo imepelekea viongozi wawe na pumzi changamoto nyingine zinamalizwa na waraghabishi naomba uraghabishi upewe majukumu ya kutowa elimu mbalimbali #chukuahatua@OxfamTz@billmarwa
Moja kati ya majengo 15 ya shule tuliyoyajenga kati ya mwezi wa kumi na moja mwaka jana na sasa. Pamoja na changamoto kubwa ya mvua. Tumefanikiwa. Majengo yote yana marumaru/tiles na madirisha ya aluminium na ubora umezingatiwa. Tumeweka na vimbweta 😊 #TokomezaZeroKisarawe
Hawa ni wajumbe wa kamati ya maji ktk kijiji cha Nanda kata ya Nanda wilaya ya mbogwe mkoa Geita wakiwa na wataalamu idara ya maji kutoka wilayani wakifunga papu ktk kisima cha shule ya msingi Nanda #ChukuaHatua maji ni uhai
Asante sana @antcorruptio. Mwenyezi Mungu awalinde na kuwakinga mama zetu dhidi ya maradhi haya ya Corona na Maradhi mengine. Allah awarehemu mama zetu wote waliotangulia mbele ya haki #HappyMothersDay
Kubali kuridhika na ulichonacho.Wengi wamepotea.wamejiingiza ktk mitego,wanashindwa kutenda Haki ktk jamii zao.Tuwemakini ktk utumishi.Ushauri wa Mraghbishi mwenye kiu ya Haki na mpenda maendeleo. Tafakari.Fanya https://t.co/u46881ln4g chukua Hatua.
Mkuu wa Mkoa Geita.Apongeza kazi kubwa ya ujenzi wa Zahanati unaoendelea ktk wilaya ya Mbogwe.Kwamba zipo Zahanati 7zinazohitaji kukamilishwa ili zianze kufanya kazi na kuondolea Akina mama changamoto @umwalimu .Mkuu wa Wilaya yuko vizuri .@ClubMagufuli
Uwekaji Jiwe la msingi Zahanati ya Shenda-(W)-Mbogwe.Mkuu wa Mkoa Geita.Nimefurahishwa na kasi kubwa ya maendeleo ktk kata ya Masumbwe na Mbogwe kwa ujumla.Hongereni kwa ushirikiano Viongozi na Wananchi.@wizara_afyatz@ClubMagufuli@OxfamTz @TAMISEMI2015 @Tz_Kwanza
Mkuu wa Wilaya Mbogwe. Akimkaribishi Mkuu wa Mkoa Geita. Apongeza Juhudi za wananchi ktk maendeleo. Na Uzalendo mkubwa wa Mkuu wa Mkoa,ambaye ni mchapakazi wa https://t.co/edqVxYjXwi ameunga mkono juhudi za wananchi kwa Tsh.Milioni Ishirini.
Mkuu wa mkoa Geita ktk ziara ya kuweka Jiwe la msingi ktk kijiji cha Shenda.Hatua ya kwanza kuingia watu wote kunawa mikono kwa kwa maji Tiririka ili kujikinga na Corona.Fundisho kwa watu wote kuchukua Hatua @wizara_afyatz @umwalimu
DS-Masumbwe (W-Mbogwe).Mh Mkuu wa Mkoa Geita.Wilaya hii ya Mbogwe tunao Waraghbishi ambao ni wadao wakubwa sana ktk maendeleo.Tunashirikia nao sana ktk maendeleo ya jamii yetu.wanao mchango mkubwa.
Asante @UNESCO Tanzania kwa kuunga mkono mapambano dhidi ya COVID-19 nchini. Nitoe wito kwa wanahabari nchini kuchukua hatua ili kujikinga na ugonjwa huu ikiwemo kuzingatia kukaa/kusimama umbali kati ya mtu na mtu wakati wa kutekeleza majukumu yao #JikingeWakingeWengine
Majengo ya S/m.Kasandalala ktk Wilaya ya Mbogwe yanayojengwa kwa nguvu za Wananchi kwa ushirikaano mkubwa wa Mkuu wa Mkoa Geita ,Mkuu wa Wilaya Mbogwe,na wadau wa maendeleo wakiwemo Waraghbishi kwa Tofari za Gharama Nafuu @TAMISEMI2015 @JoyceNdalichako@MagufuliJP
"Shirika la Afya Duniani lilikadiria kuwa ifikapo mwisho wa mwezi Aprili, 2020 nchi yetu ingekua na wagonjwa 524,716 lakini tunamshukuru Mungu kwa kuwa kadirio hilo hatujalifikia - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. #HATUCHUJI#KwanzaHabari
Kwa mara nyingine maelezo haya ni muhimu. Ila naomba utoe ufafanuzi kuh yafuatayo:
a) Mtu akishusha/pandisha barakoa kwa sababu yoyote ile, kisha anarudia kujifunika, bado barakoa hiyo ni kinga? Au inabidi aweke nyingine?
b) Mtu avae barakoa moja kwa muda gani?
#COVIDー19
"Watu waende mashambani, wafanye kazi zao za biashara, waende ofisini. Lakini kabla hujatoka nyumbani jiulize, je! Ni lazima mimi leo kutoka nyumbani kwangu? Kubwa ninalotaka kusisitiza ni kuepuka misongamano/mikusanyiko isiyo ya lazima."- Waziri wa Afya @umwalimu