"Amka mama! Mama amkaa!!"
Akisema, binti baada ya mama yake kupigwa risasi mbele yake.
Anashindwa cha kufanya, miguu inashindwa kuendelea kukimbia, wengine wamvuta ili kilichomtokea mama yake kisimfike yeye.
Yoooh!!
I cried a lot after watching that Video this morning! 😭