@ByCardoJason@Samalentips Mhindi katufanyia uhuni hakuwa ame update magoli kwa wakati halafu akawa ameacha cashout ili tujiwahi, kula rushwa. Siyo mbaya kesho pia ni siku atasakwa pia.
#swahili
Mambo vipi? Leo nawapa darasa kuhusu nature na maisha yetu Kwa ujumlaπ
Siku zote tumekuwa tukisema na tutaendelea kusema kwamba elimu na Dini vililetwa Kwa lengo moja tu la kudumaza fikra za mtu mweusi.
Ukweli ni kwamba Kila mwanadamu amezaliwa na nguvu ndani yake ambayo Ina mitetemo ambayo hunpelekea kuwa mtu Fulani.
Kuna watu wachache duniani ambao wao Wana nguvu kubwa ndani yao wametengeneza mifumo kuwatawala wale wenye nguvu ndogo na wamefanikiwa Kwa ukubwa.
Leo hii unapoumwa inahangaika kukimbilia hospital kwamba pale Kuna madaktari bingwa watakuponya lakini ukweli ni kwamba hakuna kitu Cha namna hiyo na ingalikuwa tunafuatilia mambo basi huenda tusingeumwa.
Doctor Janabi watu wanamuona kama kachanganyikiwa lakini ukweli ni kwamba yeye ni Daktari ambaye anaharibu kuwafumbua watu wsrudi kwenye asili na hatutaona hospital.
Unapoumwa maana yake energy ndani ya mwili wako imeshuka, hivyo kama unamfahamu Sheria za ulimwengu basi inatakiwa kufanya kitu Cha kupandisha energy yako irudie kwenye frequency zilezile za mwanzo.
Kila kitu ni asili, ishi asili Kila kitu duniani kina muunganiko na maisha yako. Na Kuna vitu vinafanana na viungo vyako basi hivyo vitakusaidia kurudisha energy yako at the same level pale inaposhuka.
Rangi Zina maana yake na Kila rangi Ina energy yake, ndio maana hata huko hospital vidonge vina rangi mbalimbali. Usishangae zile Zina maana yake.
Ubaya sisi tumefungwa kabisa na wazungu, tumeletewa elimu tunaambiwa maarifa yanapatikana huko lakini hapana Kila mwanadamu ana maarifa yake kichwani na anajifunza kulingana ba asili.
Nakupa mfano wanangu wote Kuna miaka wakifika wanakuwa na maswali mengi hii ipo hata Kwa watoto wako na kama huioni basi jua una kizazi kibovu.
Kwenye miaka miwili Mimi watoto wangu huniuliza Kila kilichopo mbele yao, mfano akiona kabati atauliza baba hiki Nini ? Akiona baiskeli atauliza baba kile Nini? Akiona karatasi atauliza baba hiki Nini? Akiona mtinatauliza baba hii ni Nini?
Mtoto anaweza kuwa mtaalamu Kwa maelekezo yako tu na Wala si shuleni.
Dini zinakutengenezea hofu kwamba ukitenda maovu utachomwa, unaanza kuwaza kuhusu moto hapo unaningiwa na hofu na utaamini kwamba kutenda mema kutakusaidia. Kumbe Kuna vitu umeaminishwa ni uovu na vingekuwa daraja kubwa kwako.
Leo Kwa uchache sana Nina vingiππ
Have good day π
5/5 Fuckin BOOM BOOMGRATULATIONS πππππππ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
6th BOOM πππ times this year, each every month!! Daalu Chi Okike ππΏππΏππΏ
TIME to change pin post, Drop your winning tickets ππΏππΏππΏππΏ
@Scarlet_Moon09 I didn't play it because of the lack of stakes, congratulations to all winners.
One thing I have discovered, once the bet has that "Zed" team, the chances of winning are very high π
Suala linalohusu na/au kuhatarisha maisha ya watu lazima tulipe umakini stahiki.
Propaganda ya waandamanaji kulipwa na Ford Foundation ni uongo wenye hatari.
Ulikuwa mkakati wa dola kujisafisha dhidi ya mauwaji.
Madenge, kwa kujua, alitumika kusambaza propaganda hiyo.
π§΅π§΅