@zoetjesheeftX Hakuna kitu kama hcho yaan me niache panda gari sababu ya jina la mchezaji?? Kuna wakati ata hzo bus zenyewe hazitoshi natoa wapi muda wa kuangalia walichoandika?
@420Cousin No PNR,No barcode? Ni kweli hawa wezi but kuna sehemu tukiweka sawa tutaiva kwenye propaganda kuna jicho likitumika ata hii font kuna sehemu imecheza haijakaa sawa sana
@njeridoo@SimbaSCTanzania Wametoa kwa yatima wengi tu Tanzania na hawawez wamaliza, and Yatima wa congo,malawi,msumbiji na Tanzania wote ni yatima tu haijalishi wapo wapi wanapaswa onyeshwa upendo
@Jaguar_455 Yaan mkuu kweli kama nchi tupoteze rasilimali sababu ya Mange??? Yani hii nchi ikubali kupoteza utajiri wa miaka 50+ sababu ya Mange?? Eeh wakishapatiwa wana earn nini kutoka kwake? Anataarifa za kijasusi?