Rafiki yangu alinunua hisa za CRDB @ 3000 per share.
Akaweka kama 18M.
Juzi price ikafika 2500.
Floating loss karibu 3M. Amepata depression.
Hii ndio reality ya masoko.
Uwekezaji sio numbers tu, ni psychology pia.
Kama unapitia pressure kisa market, usikae nayo peke yako.
Watu wengi wamekuwa wakisema kutrade pair chache (1-3) inamsaidia Trader kuhandle Psychology yake
Na hivyo kumongezea ufanisi na perfomance yake Sokoni 📉📈
JE NI KWELI..!?
🧵 THREAD..... Shuka nayo 👇🏽
Benki Kuu ya Tanzania imetengeneza platform ya Forex trading inaitwa EMS!
Itaanza rasmi Mwezi Huu May 2026
Lakini haipo kwa ajili ya vibua!
Je, una tredi vipi? Lot Size zioje? Pitia maelezo hapa chini
"Nimeshuhudia vijana wanaotengeneza pesa kwa Forex.."
Anaongea Rais wa Kenya William Ruto..
Nadhani Haule akiona hii atasema ni
AI🤣🤣 ..
Huwezi kupigana na uhalisia hata uwe nani😂
Forex traders ni kama Mayatima, hakunaga anae watetea. Siku zikiwa zinatembea Fimbo humu kama ilivyokuwa juzi kila mtu hadi wale ambao hawaelewi chochote kuhusu Candle eti nawenyewe wana maoni na Ushuhuda wa marafiki zao.
Good thing ni kuwa, Hisia zimekufa hatuhitaji Ma-influlenza watutetee. Kama tuli/tunaweza kuchoma mpaka milioni za hela za ada na tukawa tunaishi fresh tu kama hakuna kilicho tokea, ni maumivu gani mengine hatuwezi kushikilia? Nyie mkijisikia pigeni tu bana tunamshukuru Mungu ametupa Mabega makubwa ya kubeba changamoto zetu😂😂
DSE iko kwenye territory ya hatari kimya kimya:Bid–ask spread >9% huku volatility ya weekly returns ikiwa <0.4%.
Combo hii ni rare,high friction & low movement.
Soko linaonekana stable,lakini order‑book structure linaonyesha stress.

@The_PR0F3S0R Ndomana Mi mtu akisema forex ni scam nikipata Kule kwenye profirm leadership board nkaona namna watu wananyosha payouts uwa naziba maskio tu😂. Ckuiz Nigerians na west Africa wananyosha sana
@gabyconscious Mkuu ivi Dubai amna ubaguzi wa Rangi? Maana nilibahatika kwenda nchi moja ivi ipo Africa kaskazini kuna ubaguzi kishenz na ni waarabu @gabyconscious
Sehemu kubwa ya market cap ya Dar es Salaam stock exchange iko kwenye kampuni chache. Hii ina maana index inaweza kuonekana stable wakati opportunities ziko kwenye small/mid caps ambazo hazifuatiliwi sana.

Tofauti na developed markets, Dar es Salaam stock exchange ina low analyst coverage.
Hakuna watu wengi wanaochambua reports, hakuna kelele nyingi za media.
Hii inaacha gap kubwa kati ya value halisi na bei ya soko.